Taja Jina Moja Kati Ya Matatu Unayoitwa

Taja Jina Moja Kati Ya Matatu Unayoitwa

Kama majina na avatar haziko wazi iweje udhani kua sisi ni ME ....

Tumekusamehe siku ingine usikurupuke

Asante kwa kunisamehe! Sitakurupuka tena.

sasa kuna u-DUME gani kwenye kutotumia imoji, na kuna u-JIKE gani kwenye kutumia imoji?

Mkuu labda mimi ni kwa sababu ni old school, ila emoji zimekaa kike kike!
 
Back
Top Bottom