Dogo wangu mwenyewe wamemkata,Uku akiwa na vigezo vyote. Ila form 5 kapangiwa PGM.Mdogo wangu mimi kachaguliwa PCB ila katemwa kwenye selection za clinical officer kwa anayejua naomba anifahamishe wametumia vigezo gani kutomchagua asanteni
Dogo wangu mwenyewe wamemkata,Uku akiwa na vigezo vyote. Ila form 5 kapangiwa PGM.
Ahaha sijajua.Sasa tatizo ni nn au wanataka wenye ufaulu wa kiwango cha Alama D
Clinical officer lazima uwe na Bios C na Chem C plus aidha Mathe au Phys awe na C hivyo C tatu za masomo matatu katika hayoSasa tatizo ni nn au wanataka wenye ufaulu wa kiwango cha Alama D
Dogo wangu mwenyewe wamemkata,Uku akiwa na vigezo vyote. Ila form 5 kapangiwa PGM.
Mkuu dogo wangu ana B ya bios,C ya chemistry, C ya physics na D ya Maths lakini wamemkata.Clinical officer lazima uwe na Bios C na Chem C plus aidha Mathe au Phys awe na C hivyo C tatu za masomo matatu katika hayo
Hiv transfer kupitia nacte inawezekana kuhama chuo na course
Hiv transfer kupitia nacte inawezekana kuhama chuo na course
Clinical officer lazima uwe na Bios C na Chem C plus aidha Mathe au Phys awe na C hivyo C tatu za masomo matatu katika hayo