Wewe unahisi wanatoka mkoa gani hawa wapendwa??

Wewe unahisi wanatoka mkoa gani hawa wapendwa??

D squared

Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
52
Reaction score
46
3d431b1bf00a73b26b54f5aad77770c7.jpg
 
Kagera kijiji cha katelelo. Na mme ni mwenyekiti wa kijiji kwa tiketi ya cdm.
 
sura zao ndio rangi halisi ya mioyo ya Lumumba
 
Huyo jamaa (mwanaume) ni jiran yetu huku mwanjerwa mbeya ila huyo dada yaan mkewe sijui almtoa wapi...
 
mleta mada naona umeamua kutuwekea picha yako tuione!! Haya mmependeza
 
Kaka yake asie jaribiwa.[emoji16] [emoji12]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom