Recent content by Alln

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Nyasa wakiona

    Jaman yan Tanzania balaaa kila kona
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Itigi, wilaya ya Nyasa acha kunyanyasa wananchi

    Upo siku watajua tu mana nyasa wanadhan ni yao
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Itigi, wilaya ya Nyasa acha kunyanyasa wananchi

    Viongoz wengne mungu anawaona Kwa unyanyasaji wao hvyo lakn watambue wanafanya kaz na binadamu ipo cku
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Nyasa wakiona

    Yan kunawahun nyasa balaaa kulindana ndio usiseme wananchi hawana raha huko wanataman hata kuhamia malaw na kuomba kabixa mutharika ajitahd achukue mana Tanzania inazid mh
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Nyasa wakiona

    Ni baada ya kufanya kazi kwa bidii ili kusomesha watoto wao na kujitafutia ridhik wakishirikiana na vyama vya ushirika na hatima yake kuishia kulia kilio cha samaki NALETA KWENU KAMA NILIVYOIPOKEA KUTOKA NYASA. Chama cha msingi cha ushirika AMCOS kingerikiti kimesababisha upotevu na hasara ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu kipya cha kilimo Katavi, ni haraka mno

    Jaman naomba mwenye mawasiliano na hcho Chuo au Chuo cha uyole mbeya naomba tuwasiliane 0716914838
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mwisho mbaya wa aliyekuwa Rais wa Sierra, Leone Valentine Esegragbo Melvine Strasser

    Huyo hana chake tena kwan aliongoza kimabavu na alitolewa madarakan kijexh kimapinduz kwahyo nchi inamtambua kama muasi
  8. A

    JamiiForums Tanzania Vijana Wenzangu Tafadhalini Wasaidieni Hawa Wazee.

    Tatzo wazee weng hawana shukuran unampixha alafu ye kama maj mteremkon utadhan yupo kwake hata neno ahsante mjuu sasa mi sipish mana kibur nao kinazid
  9. A

    JamiiForums Tanzania Vijana Wenzangu Tafadhalini Wasaidieni Hawa Wazee.

    Haaaaa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa huyu ex-wangu

    mwache afie huko huko kwan c alikubar kufa naye shida na raha huna chako hapo utalia bure maua hayo kila cku huchanua ohooo tafuta wako wakukufia sio huyo tena
  11. A

    JamiiForums Tanzania Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

    Au kaolewa jaman sio bure kioo cha jamii hv kwel yan nilikuwa napenda hata nyimbo zake Kwa hii nachukia kila kitu na yeye mwenyewe
  12. A

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    Kwanza nitoe shukuran kwenu Kwa kaz hii nzito ya ujenz wa Taifa lakn nitafurah zaid mkija kwetu RUVUMA hasa jimbo la nyasa mana hatujui kwann tulizaliwa hapa Tanzania tumesanaurika sana kwahyo naomba sana msitusahau jaman tunakufa ndugu zenu yan kila kitu huku ni shida mpaka inafika mahar watu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa kisaikolojia dhidi ya wananchi wa Nyasa

    Haaaaa poa tu mungu anawaona najua alitumwa naye mungu alaze pema pepon
  14. A

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa kisaikolojia dhidi ya wananchi wa Nyasa

    Haaaaa poa tu mungu anawaona n Tanzania yenu lakn ipo cku mtajua na sis ni watanzania mana duuu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini saba iwe moja kwenye masaa?

    Sina mbavu duuuuu
Back
Top Bottom