nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,513
Bongo movie ndio zinaanza kurudi kwa kasi.
WapoMgogo gani mjinga namna hii?
...hili swali ulikuwa unatutegea,ama?Hiyo picha ina tatizo gani ndugu zangu?
Its just a pic...hili swali ulikuwa unatutegea,ama?
.mbona weye waogopa kupakwa wese ati kama hakuna tatizo!
am gudMiss u pia... Niaje
Na mimi nashangaaWakipiga kina ronado sawa na mnasifia
Jicho porii liko salama kweli...
fanya uniwahi kabla wenzako wakakuzid keteDuuh Wanaume wanazidi kupungua.
nmewaza kwa sauti ni nani aliyempaka mafuta mgongoni


am gud
hasa baada ya kukuona.
ulitumwa India kutibiwa nn?




eeehhh bana nilipata likizo bila kupenda....