Recent content by Allgem

  1. Allgem

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aiwasha KATAVI

    Mi 5 tena
  2. Allgem

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    Weka hata mapicha tuthibitishe Maneno yako
  3. Allgem

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Georgina baada ya miaka 9 ya kuwa pamoja

    Hivi hapa kwetu kibongobongo hakuna walio wahi kukaa ki hivo nao wakafunga ndoa?
  4. Allgem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Talaka naomba mwongozo kwa yeyote aliyewahi kupitia mchakato huo

    Mrudie mkeo maisha yaendelee umesahau kile kiapo siku mnafunga ndoa?Bas imekula kwako hata ukienda kwa padri atakutoa mita
  5. Allgem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Basi nikadhani hizi habari ni huku kwetu kijijini ndo zipo kumbe hata huko mjini dasalam zimekuwa sugu
  6. Allgem

    JamiiForums Tanzania Roketi ya Kwanza Kutengenezwa Australia yaanguka sekunde 14 baada ya Kurushwa Katika Jaribio la kufikia Obiti

    Lakini hiyo nchi sijawahi kuisikia kama ipo hapa africa
  7. Allgem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi, wanaume wa humu mkoje?

    Matabia ya ajabu ajabu waparue kabisa
  8. Allgem

    JamiiForums Tanzania GE2025 January Makamba: Hoja kwamba nautaka Urais hizo ni ramli tu, muda bado upo

    Si lazima ubunge tuu ccm jungu kuu
  9. Allgem

    JamiiForums Tanzania Je, Luhaga Mpina kuwa Katibu Mkuu CCM?

    Mpina yule mbunge wa Taifa? kwa kuwa ni ndoto basi tuwaachie hapo... studio
  10. Allgem

    JamiiForums Tanzania Mbossa: Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam

    Kwala Hili jina sio geni huku kijijini huwa tunaulizanaga sana lakini hakuna anaepajua
  11. Allgem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

    Msamehe bure
  12. Allgem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

    Mbona baadhi ya watoto wa kike hawapendagi pesa tena wapo kibao
  13. Allgem

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya: Samia Kaongeza Tsh. 90,000 tu basi! hii ni dharau sana kwa wafanyakazi

    Shukuruni kwa kila jambo Mitano tena Na kura nitapiga
  14. Allgem

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vyakula vya Africa havisambai duniani au kupendwa kwenye mabara mengine?

    Ugali wa kukoboa ni shida dona nalo mahindi yakihifadhiwa vibaya unakula dona lenye sumu,sijui tuhamie katika chakula gani
  15. Allgem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Hapo kwenye kigezo cha dini sina bahati,na umri je?
Back
Top Bottom