Recent content by Allen Mapunda

  1. Allen Mapunda

    Zanzibar: Marubani wawili wa chuo cha usafiri wa anga wafariki baada ya ndege yao kudondoka uwanja wa ndege wa Karume

    Ruban Bomani na mwanafunzi wake Edga Mecha wamefariki jana katika ajali ya ndege ya Mafunzo ya Chuo cha usafirishaji NIT. Huko Zanzibar Muda mfupi tu baada ya kuruka na kushika moto. Mungu aziweke pema roho za marehemu hawa wapumzike kwa amani[emoji24] [emoji24] [emoji24]
  2. Allen Mapunda

    Tembelea link hii down

    Camping experience ndani ya Dar es salaam na kwa mikoa karibu
  3. Allen Mapunda

    Camping experience ndani ya Dar es salaam na kwa mikoa karibu

    UMOJA WA WANAFUNZI KARISMATIKI KATOLIKI VYUO VIKUU TANZANIA Umeandaa mkutano MKUBWAA unaojurikana kama CAMPING EXPERIENCE SEASON II. KATIKA VIWANJA BETHEL NDANI YA MFULU, KIGAMBONI. ITAKAYOANZA KL TAREHE 7 DEC HAD 11 DEC MWAKA HUU. GHARAMA YA MALAZI NI SH 15000 KWA MUDA WA SIKU ZOTE...
  4. Allen Mapunda

    January Makamba, lifanyie kazi hili: Karanga za Diamond hazina tofauti na pombe za viroba

    Sikupenda kucomment, Kifupi kunabidhaa nyingi zinatumia plastic as secondary package hapa nchini. chakuangalia hasa kuhusu mazingira sio bidhaa ngapi ila rate ya matumizi na mode ya kudeposite hiyo package. Kama unapackage ya plastik na rate ya matumiz ni kubwa sio siri huwezi kuponya...
  5. Allen Mapunda

    Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

    Oh! Mungu faraja ya kweli acha abaki kuwa Mungu. Mungu atakupa ndugu wengi wenye upendo na faraja kwako Imba, wewe uliye tasa, wewe usiyezaa; paza sauti yako kwa kuimba, piga kelele, wewe usiyekuwa na utungu; maana watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko watoto wake yeye aliyeolewa, asema...
  6. Allen Mapunda

    Tabia za wanawake wa mkoa wa Mbeya

    Ila ni mabaunsa, Wanapenda saaana kumiliki hadi akir za mwanaume. usipokaa chonjoo watakuenyesha. Wengi wasaafi nje kimuonekano, ila ndani ya nyumba halaulaaaaa kimahusiano sio waaminifu 75% ila ukioa cool on the house Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Allen Mapunda

    Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

    7 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Allen Mapunda

    Lowassa: Rais Magufuli havumiliki

    wacha waone nini kilifanywa na sisi wa em Hizi ndizo kura Feki zilizokamatwa Huko Bukoba,,,Nmekuwekea hapa | Habari Nzima (HN)
  9. Allen Mapunda

    Zootopia na Moana, ipi ni animation nzuri kwa 2016?

    Zootopia, Quotes Am sorry boss, i tried to stop her but she is so slip.
  10. Allen Mapunda

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Duuh! Aisee umenichekesha[emoji23] [emoji23]
  11. Allen Mapunda

    Rwanda yaomba kuchukua anga la Tanzania

    Haitawezekana, kwani kuna international boundaries na country boundaries (Anga la kimataifa na Anga la nchi) Kwa usalama wa nchi ndege yoyote hairuhusiwi kuluka (kama sio ya nchi hio au haina mkataba) chini ya anga la kimataifa otherwise itatunguliwa, ICAO wanatoa hzo reg na kuziSimamia ila...
  12. Allen Mapunda

    Uwanja wa ndege wa DSM(JNIA) washushwa viwango vya ubora kimataifa,Waziri Mbarawa chukua hatua upesi

    Hii ndio Tanzania, baada ya siku chache mtanzania mwenye commenti hzo za kusema washushe tu ndio anakuwa na ndoto za kuwa mwanasiasa badae. Kiukweli mwanadamu akishindwa kumiliki fikra na hekima zake mwenyewe cjui familia yake. [emoji35] more worth nazani [emoji35]
  13. Allen Mapunda

    Uwanja wa ndege wa DSM(JNIA) washushwa viwango vya ubora kimataifa,Waziri Mbarawa chukua hatua upesi

    Vitu kama hv vinaimpact kubwa msichukulie kirahis TAA, ni agent wa ICAO tanzania, hvyo failure yao kwa makubaliano ya kimataifa yana impact kubwa. Kuna watu tena waTz wenye ufahamu wa ubuyu wanasema bora vishushwe hujui, kwamba mfumo mpya ndio unarahisisha maisha. Hvyo mara nyingi kitu...
Back
Top Bottom