Ndio maana leo kampokea mwenzake anyeongoza nchi akiwa anaishi nchi nyingine labda anataka afundiswe mbinu na huyo jamaa maana hapa moto utawaka muda soon
Hivyo ni vidokezo muhimu sana kwa ajili ya alhamisi
Arusha ni ya chadema tu maana watu wake wako makini
Hili ndio jimbo la mfano kwa wanaotaka kufanya mageuzi ya kweli na utawala bora
Hapa tunachagua chama na si mtu
Hata yule wa TLP alikula hela na baadae akakitaa cheo. Hawa wakina YUDA ESCARIOT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.