Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

Watanzania jamani kwa kuongea na kulaumu tunashika namba moja.Niwaulizeni;hivi raisi wenu mlisaidiwa kuchaguliwa au mlinchagua wenyewe!!???Kama mlichagua wenyewe mnalalamika nini??Kama nyie ndio mliomchagua raisi wenu na kumpa ajira mnashindwa vipi kumtoa?,kwa style hii ya kulalamika kwenye laptop mtakaaa sana kuyasubiria maisha bora kwa kila mtanzania,ongezeni tu bidii ya kula ugali na picha ya samaki hakuna lingine!!.

Since long time,nishasikia kuwa Lake Oil inamilikiwa na huyo dogo Riz-1!
Kama vilevile wana hayo magari ya mizigo ya ASAS,.....je reli zitafufuliwa kweli??? I doubt.

Day will come when they will cry.

Kuna mtu dunia hii aliwaza kuwa siku moja mubarak wa misri angefikishwa mahakamani kwa makosa ya rushwa na mauaji ya raia?

hata hapa wananchi 2natakiwa kufanya maamuzi ya kung'oa mibuyu.

Kobil?DELINA

Lake Oil magari ya mizigo ya ASAS,..

Nasikia na GBP, OILCOM, BIG BON, DALBIT, OILCOM, na hata uwanja mpya wa taifa, mlimani city, lile ghorofa karibu na ikulu, quality plaza, ile terminal mpya pale airport ambayo bado haijaisha vyote vya kwake, huyu fisadi sana. Nchi hii haijapa maendeleo kwa miaka 50 kwa sababu yake na baba yake.

Unavyomtetea yawezekana anakumiliki na wewe.

kazi ipo kukomboa nchi mikononi mwa..................... watajuta.:sick:

Magamba oyeeeeeeeee!!!!!
Kuna taarifa kwamba riz-one anamiliki vituo vya mafuta vya lake oil. Anashirikiana na jamaa mmoja ambaye alikuwa bosi wake na waziri aliyeshindwa uchaguzi 2010. Kumbe ndo maana jamaa wana jeuri ehhhh. Du hata jk ana tenda ya kusupply mafuta serikali ya burundi ndo maana mama alikuja kumsalimia mshirika wa mumewe (nkurunziiza) hivh majuzi....

Wacha wamalize kila kitu ilitushike adabu...chaguzi zijazo tutumie kura zetu vizuri

Watanzania jamani kwa kuongea na kulaumu tunashika namba moja.Niwaulizeni;hivi raisi wenu mlisaidiwa kuchaguliwa au mlinchagua wenyewe!!???Kama mlichagua wenyewe mnalalamika nini??Kama nyie ndio mliomchagua raisi wenu na kumpa ajira mnashindwa vipi kumtoa?,kwa style hii ya kulalamika kwenye laptop mtakaaa sana kuyasubiria maisha bora kwa kila mtanzania,ongezeni tu bidii ya kula ugali na picha ya samaki hakuna lingine!!.

waliomchagua ni KIRAVU NA MAKAME TU

Back
Top Bottom