<br />Huu ni Udini mkubwa. Kama mnataka vita vya Kidini anazisheni. Chuki hii yote kwa sababu Rais ni Muislamu.

sina uhakika na taarifa yako.Napita tu,muongozo nitatoa baadae.Mkuu vijana waliomaliza mafunzo ya jeshi huko monduli juzi mwz wa pili huwaambii chochote kuhusu Shimbo na JK, wanawapenda kuliko maelezo, rafiki zangu kabisa nilimaliza nao UDSM na walikuwa wapinzani wakubwa wa serikali ndo walisema maneno hayo baada yakutoka kwenye mafunzo, nahisi kuna kitu wamelishwa, au hulka ya ubinafsi.
mmmmmmmmmmmmmmmmm watu wenye mawazo finyu kama wewe bado mpo kweli.Japo sijasoma zote kuna watu walio wengi wanaongea utumbo na kero za ajabu. kuna mijitu yanatamani vita. sio kama JK ni mzuri au serikali ni nzuri, kuna mapungufu ila sio ya kutangaza vita, uongozi sio lelemama! ni kumshukuru mungu tuliyonayo hata kama sio kwa kiwango stahili, ila ujue tumesogea sana
Huu ni Udini mkubwa. Kama mnataka vita vya Kidini anazisheni. Chuki hii yote kwa sababu Rais ni Muislamu.