Pambaf mtoa mada, mwachen huyo zingo zingo hajui hadhi ya jiji inatokana na nn,,, anataka anaongelea maghorofa tu ya hotel halafy cha ajabu anayataja ya zaman na ya kawaida yy na Dereva wake wote machizi angezungukazunguka aulizie hotel zenye hadhi hapa town kwa sasa,,, halaf eti oooh,,, cjaona...