Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 20,712
- 20,472
Kwa hiyo unamsihi kwamba aendelee kukaa kimya hivyo hivyo hata machafuko yakianza, asiwaingilie Wazanzibari awaache wapigane tu; wala asipeleke vikosi vya jeshi lolote kutoka upande wa Bara, kwa maana hata machafuko ya Zanzibar yatatulizwa na vikosi vya Zanzibar!...
Na ndio maana nampongeza Rais Magufuli kwa kutoliingila suala hili, na huo ndio msimamo sahihi.
Tatixo la uchaguzi Zanzibar limeanzia huko huko Zanzibar, na ni Wazanzibari watakao litatua ...