Raha kutongoza lazima nirudie tenaIna maana Mkuu ukilala nae utarudia tena kumtongoza?
Hela mkuu...ndo kila kitu!!!Wewe huwa unafanyaje Mkuu katika namna ya kuwapata ma bidada?
Teh!Hakuna muda ila asubuhi mtu unaamka na mambo mengi kichwani afu ukutane na tongozo....huko ni kuharibiana siku, mbaya zaidi tongozo lenyewe ni "dada siku nyingi nakupenda ila naogopa kukuambia '
Mkuu ukiwa na hela hata alfajiri unapata papuchi.!!!Kwahiyo Habari ya Mujini ukiwa na hela hata asubuhi ni ruksa kutongoza?
We nawe mbona maswali mengi Kama polisi!!! HeheheheKuna kitu niliuliza, mwenye kupata laana ni yupi kati ya mtongozaji na mtongozwaji?
Yupo fieldWe nawe mbona maswali mengi Kama polisi!!! Hehehehe
Duh unaweza ukawa mtani lakini kuhusisha suala la kabila siyo sahihi wasukuma ni wachapa kaziHuyo anatongoza asubuhi atakuwa msukuma tuu.
SALAMA MKUU ZA KWAKO?
Hela ndo kila kitu mkuu..tongozo peleka bongo movie..!!Wewe huwa unafanyaje Mkuu katika namna ya kuwapata ma bidada?
Basi hiyo data analysis itamsumbua sana, maswali mengiiii kaaaYupo field