Recent content by aliso

  1. A

    Biashara ya Sigara

    ndugu Marafiki. Nipo katika wilaya moja huku Kanda ya ziwa. Katika kuhangaikia maisha nimeona ni vyema nikajiingiza katika biashara japo mimi mfanyakazi. Kuna mtu alinipa wazo la kufanya biashara ya jumla ya kuuza sigara. Ikibidi niwe wakala chini ya kampuni la sigara. naomba ushauri ndugu...
  2. A

    Naomba ushauri kwa aina hii ya ujenzi

    Samahani ndugu. Mimi mwenzenu Nina ujenzi wa nyumba ya kuishi.nikiwa katika harakati za finishing napata ushauri kwa rafiki yangu kuwa alishawahi kuona nyumba furani dar es salaam. Sitting room yake inakabati nzuri ya ukutani kwaajili ya TV na vitu vingine vya sebuleni. Naomba ushauri...
  3. A

    Wimbo wa transfer ya lindi na ottu jazz band

    Waungwana kwa wale wanaofanya kazi za kuajiriwa. Nafikiri majungu kazini tumeshakutana nao. Wimbo huu hunikumbusha mbali hasa pale kwa mzee Ngurumo nipo lindi nachapa kazi, hakuna majungu wala masufuria. kwa bahati mbaya nimeshindwa kuupata wimbo huu huku madukani kwetu.
  4. A

    Fantail pegeon wa kununua.

    kwa mwenye aina hii ya njiwa.na anawauza.please tuwasiliane.
  5. A

    Viongozi wetu igeni mfano wa rais huyu

    Uganda: Shoot Poachers On Sight - Museveni 3 March 2014 , Source: EA Business Uganda's President Yoweri Museveni has given the Uganda Peoples' Defense Forces (UPDF) and the Uganda Wildlife Authority (UWA) a go ahead to shoot on sight any poacher found in a National Park. The president, who...
  6. A

    Huu wimbo unaitwaje

    nikiwa safarini kuelekea kahama nikitokea dar.nasikia wimbo ukizungumzia majungu kazini.sauti kama ya hussen jumbe. baadhi ya maneno ya wimbo huo ni...sasa nipo lindi nachapa kazi.hakuna majungu wala masufuria. umenigusa sana.wimbo huu ni wa kundi gani? unaitwaje? ..
  7. A

    Viongozi wa dini wa taifa hili ni wanafiki na Mungu anawajibu

    wewe mwenye akili nyingi una lipi la maana.mtoa hoja ana maana nzuri tu.je hizi kauli za viongozi wa dini zina lenga kweli kuleta aman katika nchi yetu? hayo matusi mengine yanatoka wapi?
  8. A

    Ubaya na uzuri wa Nissan X-trail

    wakubwa naombeni msaada kwa ndugu na jamaa waliowahi kutumia aina hii ya gari.binafsi kwa picha tu nimeipenda.ila sijui undani wake.nisaidieni.
  9. A

    nataka kununua indian fantails

    jamani kwa mwenye aina hii ya pigeons.nawatafuta sana sana.they also known as garden doves.they have fur on their toes which makes them more beautiful.kuna kipindi mwana jf mmoja anaitwa mohammed shossi.alitangaza kuwa nao.nitampataje? nisaidieni jamani.
  10. A

    Msaada: Kwa wakazi wa jiji la Arusha.

    mudy tuwasiliane.very serious nahitaji indian fantail.na aina zingine ulizonazo.si unaweza kuniuzia?
  11. A

    tofauti hapa ni nini?

    wana jf wataalamu wa lugha nisaidieni tofouti na maana ya maneno haya.. Tundu na tobo.kifungo na kishikizo.
  12. A

    Wanawake hawaa!!!

    aibu gani jamani.
  13. A

    Ujue wewe una mikosi!

    namba 7 GODNES ME.
  14. A

    nahitaji kununua please

    kuanzia 10 hadi 30 hundred thousands inakubalika.
  15. A

    Huyu mwanamke simuelewi

    nilikupenda kimapenzi solemba oh dada.umeachwa solemba kaka.jiweke pembeni.kwani unachimba dhahabu hapo.
Back
Top Bottom