Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
he he he, kumbe na wewe unapenda 'kulowa'?
:confused2:.....damn........acha fikra za Ulozi
:confused2:.....damn........acha fikra za Ulozi
Kuloweshahe he he, kumbe na wewe unapenda 'kulowa'?
Alafuuu wewe!.........:yield:angalia usije ukanyesha kama mvua.
Wakakae wote....akavunje nazi? Au yai?
U r damn right...Acha fikra za ulozi wewe........mwenzako anamaanisha Clouds FM,njia Panda
heee...mweee! hapo penye red patamu! ukipiga simu anapochelewa kupokea au hapokei kabisa basi fahamu kuwa wakati huo huwa yuko na jamaa 6X6 na wako kazini so don't disturb...men at work! umeelewa? :bowl:Wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia hanitafuti, kuna siku nilimuuliza bado ananipenda akanijibu yuko njia panda na hajielewi na muda mwingi simu yake inakuwa busy sana nikimpigia wakati wa usiku, wakuu naomba mnisaidie nifanyeje? bado namhitaji
Alafuuu wewe!.........:yield:
sasa jibu hilo 'yuko njia panda'...
Dogo unapenda ligi eeehhe he he, nakudediketi wimbo wa 'kitambaa cheupe' wa King Kiki
Wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia hanitafuti, kuna siku nilimuuliza bado ananipenda akanijibu yuko njia panda na hajielewi na muda mwingi simu yake inakuwa busy sana nikimpigia wakati wa usiku, wakuu naomba mnisaidie nifanyeje? bado namhitaji
Acha fikra za ulozi wewe........mwenzako anamaanisha Clouds FM,njia Panda
Kama haujui kusoma hata picha pia nazo huoni???
Hapo huna mpenzi!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums