Recent content by Alfred Masesa

  1. Alfred Masesa

    Nahitaji mume hata nikiwa mke wa pili sawa tu

    Acha ubaguzi wa Dini
  2. Alfred Masesa

    Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

    Mkuu umechanganyikiwa wewe si Bure,kwa hiyo unafikia hatua ya kuifananisha Israel na Rwanda? East and Central Africa,hakuna Taifa lenye uwezo wa kuipiga Tanzania. Umesahau aliyewaangamiza M23? M23 walikuwa ni jeshi kamili la Rwanda ndani ya Congo,waliojificha kama waasi, Kikwete akawafurusha...
  3. Alfred Masesa

    TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

    Inauma sana roho mtu kufariki ktk umri mdogo
  4. Alfred Masesa

    Msaada:jinsi ya kurudisha Documents baada ya ku- reset simu.

    Wakuu. Nili-reset simu yangu bila ku-save Documents zangu muhimu, na Kama ilivyo kawaida ya ku -reset kila kitu kinafutika, nami ndo hivyo kila kitu kimefutika. Baada ya kufuatilia nimeambiwa kuna uwezekano wa kurudisha Documents zote zilizofutika Endapo nitapata mtaalamu wa kunielekeza...
  5. Alfred Masesa

    Tajirika na Sarafu ya AdsCash.

    Dunia tunayoishi imebadilika Sana,karibia kila kitu kinaendeshwa kidijitali ili kuendana na hali halisi ya mabadiliko ya kisayansi na tekinolojia. Mwaka 2009 January, raia wa Japan Saitoshi Nakamoto alianzisha sarafu ya mtandaoni na kuipatia jina la Bitcoin. Sarafu ya mtandaoni au...
  6. Alfred Masesa

    A Letter from the Bastard to the French President .

    His real name is William Wesley, he was born in Dublin Ireland and grew up in London. His parents moved to the Central Africa Republic to work there as missionaries while he was at age of 12 . But behind the drape, his parents were not missionaries as they had been known, they were spies from...
  7. Alfred Masesa

    Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

    Ni kweli kabisa mkuu, kuna kitabu namalizia kukiandika ni riwaya inaitwa. The last chance for the US citizens Based on a true story Kinahusu anguko kuu la marekani Kwa miaka ijayo, nitakiuza kwenye kampuni zao wenyewe.
  8. Alfred Masesa

    Wakuu, kitabu cha "Nilikwenda Kuzimu na Nikarudi Duniani " Kipo Hewani.

    Wakuu salamu. Kwa wale mliokuwa mkifuatilia simulizi tajwa hapo juu nawataarifu kuwa, kitabu kipo hewani tayari. Kwa sasa nasambaza Mwanza mjini Kwa wauza magazeti. Anayehitaji anicheki 0764646211.
  9. Alfred Masesa

    Ndege ya ATCL(Air Tanzania), imetua Arusha airport imeshindwa kugeuka

    Hivi Barbarosa huwa una matatizo gani ndugu yangu? Ni wapi mtoa mada amefurahi? Hapa tumeletewa taarifa juu ya ndege yetu pendwa kushindwa kugeuka baada ya kutua, sasa wewe unasema eti amefurahi, Kwa hiyo kuleta habari ni kufurahia? Badilika ndugu yangu, siasa haiendi hivyo, Hizo ndege siyo za...
  10. Alfred Masesa

    Nilikwenda kuzimu na nikarudi duniani (simulizi ya kweli)

    Mkuu, utafute kitabu tu, story tayari nimemaliza kuandika humu, wiki ijayo inaendelea kwenye kitabu Kwa watakaokuwa tayari kununua.
  11. Alfred Masesa

    Nilikwenda kuzimu na nikarudi duniani (simulizi ya kweli)

    Mkuu acheni matusi, namba hii 0764646211.piga au tuma sms utapata kitabu .
  12. Alfred Masesa

    Mwigulu ajitetea kwa balozi Cooke!

    Sijui ni nini hatima ya Tanzania, maana Mungu hadhihakiwi.
  13. Alfred Masesa

    Watu waliofanikiwa baada ya umri wa miaka 45

    Wewe ndo wale wale wenye akili mgando, kuna watu huwa wanafanikiwa wakiwa na miaka 25 tu, na baadaye hufilisika kabisa, lakini baadaye hupigana hadi kufanikiwa tena wakiwa wazee. Unachokiwaza ndo kinachokutokea, ukiwaza umaskini utapata umaskini ukiwaza utajiri utapata utajiri. Umri hata...
  14. Alfred Masesa

    Nilikwenda kuzimu na nikarudi duniani (simulizi ya kweli)

    Mkuu Hujaona namba ya simu aliyotoa mwandishi ? Tumia namba hiyo kupata maelekezo yote.
Back
Top Bottom