Recent content by Al-musallam

  1. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

    Tivuuuuuu...
  2. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania wakali wa english

    "Father im your son of how many".. Afu hapo unamwita kwa mapozi yote huku ukitilia mbwembwe za kibongo movie..! Badala yakusema 'ntakukata mtama'.... Utaskia "I will cut you a millet" [emoji23]... Bongo movie oyeeeeee!
  3. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

    Na kiwanda kiko wap?
  4. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Kwanini saba iwe moja kwenye masaa?

    Swali zuri sana, ntakujibu kama ifuatavyo.. _Chukua hyo 7 toa 1, jibu utalipata kichwa. Chukua hyo 8 toa 2, jibu unalijua. _vhukua 9 toa 3, utapata jibu. NB: jibu utakalopata katka masaa yote yatafanana.. Sasabas tutafute maana ya hyo namba. 666[emoji33]
  5. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mwanaume mwenye huyu mwanamke, mwambie afunge akaunti yake fb kwa usalama wako

    Mbon miguu yenyewe haieleweki?
  6. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Hahahaaaa umenikumbusha, nilikua hko si mda mrefu... Huyu dada kiboko
  7. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Ngoja tujaribu[corol=yellow]
  8. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Kifahamu kikosi hatari duniani cha u.S.A navy 'seal' tayari chatua rasmi rasi ya North Korea

    Copy and paste... Hii umeitoa muungwana blog.
  9. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Makapuku

    Naitaji kudownload movie ila sijui naanzaje! Msaada plzz. Nawasilisha..
  10. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Naamini atakachofanywa North Korea na Marekani kitakuwa ni Funzo ulimwenguni

    Jamaniiiii yusiisaaau vita ya bashiteeeeeee hadi aeeke vyetiiiiiiiiiiii
  11. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Naamini atakachofanywa North Korea na Marekani kitakuwa ni Funzo ulimwenguni

    Kwani osama alichukuliwa na america?
  12. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Naamini atakachofanywa North Korea na Marekani kitakuwa ni Funzo ulimwenguni

    Naona unachembe zakibashite kdogo,
  13. Al-musallam

    JamiiForums Tanzania Naamini atakachofanywa North Korea na Marekani kitakuwa ni Funzo ulimwenguni

    Unaijua vzr south korean ww?? Rudi kweny histry isome vzr, ndipo utakapoijua korea kusini... Hakuna mshindi pale...
Back
Top Bottom