Mkuu usiache kunitag nami tafadhali. Pia nikitaka kuisoma hadithi ya BARADHURI MWENYE MIKONO YA CHUMA, naipataje?Hatudaiani sasa.
☆Steve
Mkuu usiache kunitag nami tafadhali. Pia nikitaka kuisoma hadithi ya BARADHURI MWENYE MIKONO YA CHUMA, naipataje?Hatudaiani sasa.
☆Steve
santee tivuHatudaiani sasa.
☆Steve
me pia jaman mbona umepotea hiviKama nimekumisi vile![]()
![]()
![]()
Aaaah jaman ratiba si inaeleweka wandugu?Steve kaishia chimbo kama LEGE vile!!!
Tulijua umetokomea mazima!Aaaah jaman ratiba si inaeleweka wandugu?
☆Steve
Nimepotea ili kuepuka madhara ya arosto mama. Hua napita kimyakimya aseeme pia jaman mbona umepotea hivi
Teh teh mie sikimbii mkuu nilichokianzisha mwenyewe.Tulijua umetokomea mazima!
Aaaah mkuu!Nimepotea ili kuepuka madhara ya arosto mama. Hua napita kimyakimya asee