Una fikra pevu sana, yeye alowekeza kwenye biashara anahesabu faida kutoka na mtaji wake, msomi/mwajiriwa naye faida inatokana na level ya elimu yake, that's why zipo scale za mshahara kulingana na ulivyotumikia ajira au kiwango chako cha elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine huwa napata shida kutafakari, hili nalo ni janga mpaka Mungu aliepushe? Acheni hizi habari Mungu anaonewa watu wafanye ujinga wao bila kumshirikisha Mungu af ujinga ukijulikana Mungu aepushie mbali, nonsense!!
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo miaka 10 haitozalisha? au unataka kutuaminisha kuwa biashara ya ndege ni ya hasara tu?? kupanga ni kuchagua bana mwacheni mzee afanye kazi, tumuunge mkono
Tukubaliane tu kwamba enzi za mtu kuwa Rais af unatoka madarakani maeneo ya kwenu hapako vizuri ni aibu, kwanini?
1. Ulipokuwa Rais ukipata rafiki wengi wa ndani na nje Hivyo watakuja kukuona kwa mengi
2. Mkataa Kwao ni mtumwa
3. Kujenga heshima ktk jamii unayotoka kwamba hata vijana wengine...
Zama hizi kama ni mtu unafikiria mbali huwezi ukaacha kumsomesha Mtoto Shule ya maana kwa kufikiri badae atashindwa kupika na kufua, hili ni wazo mgando sana jamaa yangu badilika labda kama kauwezo kanabana ila usijidanganye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.