Recent content by Ahnass2003

  1. A

    JamiiForums Tanzania Azam TV wanazingua

    Tafuteni makopo au visado mfunike LNB somehow inasaidia.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [\color] dfrdd [/color]
  3. A

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais kunyang'anywa Passport Mkandarasi wa Maji

    Lengo la kunyang'anywa ni kutitoka nnje ya nchi mpaka atakapokamilisha mradi.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais kunyang'anywa Passport Mkandarasi wa Maji

    Kwa akili yako unadhani Tanzania gvt haitotoa taarifa kwa serikali husika? Au ulitaka aeleze kila hatua itakayochukuliwa? Serikali inafahamu taratibu zote hizo.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Nijuavyo supp mwisho tatu, Umedisco ndugu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Siri ya mtungi aijuaye kata

    [emoji56]
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Chungu ya ukweli, na tamu ya uongo bora ipi?.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Hotuba ya Kagera, ni bora angekaa kimya

    Kabla hajenda mlikuwa mnapiga kelele, eti hajenda kuwatembelea wahanga. Kaenda kawapa ukweli tena mnarudi eti bora asingeenda. Hamna shukran.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Huo mzigo unapoagiza, unaulipi makodi yaliyopo bandarini? Au gharama zote znakuwa kwao?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: wataalam wa computer

    Angalia life time ya battery kwa kutumia diagnostic tool.
Back
Top Bottom