Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,120
- 4,788
mkuu, adopter inatoa moto vizuri. nikikonnect pc inaonesha inacharge kwa muda kama wa sekunde 30 hivi na betry charge inaonekana iko nusu (54%). baada ya hapo inaacha ghafla kuchaji na nikiunplug pc huzima.
Bado hujatatua hili tatizo.? Hapo tatizo laweza kuwa miongoni mwa hivi vitu vitatu.
1. Battery imekufa
2. Adapter imekufa
3. Software/OS katika PC imecorrupt.
Kabla ya yote jaribu kuupdate hiyo OS yako kisha uangalie.