Nondoh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 298
- 478
Haya maisha haya kila mtu na siri yake. Usione mtu kavaa miwani kapendeza ukakurupuka na kuiga, shauri yako utaumia.
Nyuma ya pazia kuna mengi sana yamejificha. Usione mtu yupo ndani ya gari ukatamani ukachukulia poa, wengine wameidhalilisha miili yao, wengine utu wao na wengine wamehatarisha uzima wao na wengine wameenda mbali hadi kuua.
Nyuma ya pazia kuna mambo mengi sana yanaendelea. Kuna watu wapo radhi hata kurisk intangible assets zao ilimradi wawe some body kwenye jamii na unaweza zani ni mwanaume kumbe nyuma ya pazia ...
Hapo nilipo ishia tiririkene