Recent content by Ahmed haji

  1. Ahmed haji

    Sifa za mwanamke/mwanaume wa kuishi nae

    Unajua kila mwanamme ana vigezo vyake vya kuchagua mwanamke wa kuishi nae, natumai ww binafsi una vigezo vyako ispokua unahitaji nyongeza kutoka kwetu. Uchamungu ndio kitu cha kwanza kuangalia kwa mwanamke. Pili heshima na jinsi gn anajumuika na familia yake pia na za wenzake. Pesa na uwezo wake...
  2. Ahmed haji

    Wanawake wa kiislam mlioolewa: Unaona sawa mumeo akiongeza wanawake hadi wanne?

    Hii ni sahihi kabisa lkn niweke sawa kdg hawara hua ana harama zaid ya mke mana hua hajali hali uliokua nayo anachofaham yy kua anapohitaji kitu umpatie vyenginevyo anaweza kukupotezea. Nadhan uke wenza ni bora zaid kuliko kua na hawara na ww mke unaesema bora mumeo awe na hawara kuliko kuoa...
  3. Ahmed haji

    Kwanini shule nyingi za Zanzibar huburuza mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne na sita?

    Kutokana na mfumo wa taalauma wa Zanzibar hatuwezi kuepukana na kushika mkia katika matokeo ya mitihani ya Necta. Wanafunzi ambao wanaandaliwa kwa ajili ya kupata matokeo mazuri ya mitihani ni wale ambao wanaigia ktk shule za vipaji tu ambao wamefaulu darasa la saba. Idadi ya wafaulu haizidi...
  4. Ahmed haji

    Sehemu ambayo mwanaume hupatwa huzuni mkubwa kuliko

    Sie huwa tunakata kwa ndimu, unakamulia ndimu kisha unaendelea na papuch
  5. Ahmed haji

    Msaada: Nimekuta video na picha zangu kwenye mitandao ya ngono

    Hebu nitumie hio web ili nuhakikishe km kweli
  6. Ahmed haji

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Unajua kila kichwa na wazimu wake lkn kila mtu anajihisi yuko safi tu, hakiwaji kutungwa kitabu kupitia mkono wa mwanadam kikakosa kasoro na ndio mana hata katika masomo yetu shuleni tunahakiki na tunatosa kasoro kaza wa kaza ingali tukiwa wanafunzi. Katika kitabu cha Qur'an mwenyewe Muumba...
  7. Ahmed haji

    Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Kutokana na maandiko ya Qur'an " hakika ya kila binadam anaijua nafsi yake" basi bila ya shaka unalijua ttz liko wapi solve ttz utapata mume.
  8. Ahmed haji

    Wakati mwingine muda sio kipimo sahihi cha kupima mapenzi ya dhati na hitaji la moyo

    Mara nyingi inakua geresha tu lkn yupo ambae ukimuona moyo hushtuka
  9. Ahmed haji

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  10. Ahmed haji

    Mgeni wenu mie

    karibu mgeni
Back
Top Bottom