Mgeni wenu mie

Mtafute dada mmoja anaitwa joanah. Atakuonyesha kona zote za mji huu.
Pia atakuonyesha nani nyang'au na nani angalau.
Hhaahahhahhh!
Mi nakuachia wewe Tyrone mofekeng umfanyie tour ya humu ndani,afu tour ya jinsia tofauti inapendeza sana:D:D...ukipata mgeni mkaka naomba unistue tafadhali:p:p

Ila mgeni karibu sana...kuwa makini sana na mtu anayeitwa Behaviourist
DJ Sepetu is my baby,usiwe unamchekea popote pale,kivyovyote vile!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom