Msaada: Nimekuta video na picha zangu kwenye mitandao ya ngono

bishororo

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
254
356
Habari wakuu,

Mimi na mchumba wangu tumekuwa na mahusiano toka first year mpk leo mwaka wa tatu huu. Kwa kuwa tunaishi hostel, tumekuwa tukifanyia mapenzi yetu gesti fulani hivi kwa muda wote huu.

Sasa cha kushangaza, jana rafki zangu wakaniambia wanaona video zangu kibao kwenye sites za ngono nikimgegeda mpenzi wangu. Sikuamini, nilivyo-google na kujiona yaani nililia sana.

Hapa class zima wanajua. Nadhani itafahamika chuo chote. Sasa sijui ile guest kuna kamera au yaani ni aibuuuuuu.

Nifanyaje???
 
potezea tu litayeyuka lenyewe inahitaji uvumilivu hlf hiyo video sio kigezo cha wewe kujiuwa nenda mahospitalini kaangalie kuna watu wanaumwa ile mbaya hlf bado wanatumaini la kuishi!.
take it easy kubaliana na hali endapo ni ngumu but you must be strong that is how men we are don't let us down.
 
Habari wakuu,

Mimi na mchumba wangu tumekuwa na mahusiano toka first year mpk leo mwaka wa tatu huu. Kwa kuwa tunaishi hostel, tumekuwa tukifanyia mapenzi yetu gesti fulani hivi kwa muda wote huu.

Sasa cha kushangaza, jana rafki zangu wakaniambia wanaona video zangu kibao kwenye sites za ngono nikimgegeda mpenzi wangu. Sikuamini, nilivyo-google na kujiona yaani nililia sana.

Hapa class zima wanajua. Nadhani itafahamika chuo chote. Sasa sijui ile guest kuna kamera au yaani ni aibuuuuuu.

Nifanyaje???
Video zote za ngono za watanzania nazijua na ninazo....hakuna mwanafunzi wa 1st year mule...acha uongo..
Na hakuna video yoyote ya kibongo iliyorekodiwa bila ridhaa ya aliyeonekana...
Zote wanajirekodi wenyewe..
Acha uongo mkuu
 
Hebu nitumie hio web ili nuhakikishe km kweli
 
Video zote za ngono za watanzania nazijua na ninazo....hakuna mwanafunzi wa 1st year mule...acha uongo..
Na hakuna video yoyote ya kibongo iliyorekodiwa bila ridhaa ya aliyeonekana...
Zote wanajirekodi wenyewe..
Acha uongo mkuu

you must be up for something‍♂️
 
Back
Top Bottom