Ungeweza kueleweka vyema kama ungejikita kwenye hoja za zitto kabwe bila ya kufanya personal attacks.
Ulichofanya hapo katika Kilatini kinaitwa shambulizi la "ad hominem". Hili ni shambulizi la kuacha hoja, na kuanza kumshambulia mtoa hoja.
Ukifanya shambulizi hili mara nyingi ni dalili za...
Sijui Charter ya SUA inasemaje kuhusu uteuzi wa VC na viongozi wengineyo, ila nachofahamu HATI RIDHIA ya vyuo vikuu vingi vya umma, zimempa mamlaka mkuu wa chuo (chancellor) kuteua makamu mkuu wa chuo (vice chancellor) baada ya mapendekezo kadhaa ya majina kutoka kwenye search committiee.
Haha pole mkuu, unaloliwaza haliwezekani maana amezungukwa na malaika wa kijeshi na ataashi bila madhara yeyote yatakayopangwa na binadamu juu yake mpaka pale neno la MUNGU litakapotimia juu yake.
Wakuu salaam, mdogo wangu amechaguliwa chuo ambacho ni chaguo lake la mwisho, je kuna uwezekano wa yeye kuhama chuo? Na je kama upo utaratibu wake unakuwaje?
ACT ni kijitaasisi cha zitto kabwe cha kumpeleka bungeni. Ni kama kile cha leka dutigite, kama hauamini nitajie wabunge wawili tu kwa tiketi ya ACT then uambatanishe na namba yako ya mpesa.
Wameketia viti vya plastic afu unasema ni masikini? Hizo rubega zisikufanye uwaone ni masikini, hizo ni tamaduni. Haya nenda cha.to uone viti gani vinatumika kuketia!!
Nimeitumia uber sana Nairobi Kenya, na ndiyo habari ya mjini. Lakini kutumia uber kwa tax driver uku bongo itakuwa ni changamoto.
Inahitaji driver awe na smartphone kwanza, pili awe na sharp mind kwenye matumizi ya smartphone tatu inabidi awe na gari ambalo si bovu bovu na cc engine yake...
Lakini pia mkuu umenikumbusha mbali kuna dr. Mmoja aliongea na vijana wa chuo kikuu flani morogoro kwamba serikali haiwezi kuajiri vijana wote inabidi mjiajiri na muwe wabunifu.
Ghafla akashushwa kwenye kile kiyoyozi cha VX V8 akaishia kusemaa amekosa, amekosa,amekosa yeye hana pakujishika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.