Naomba kuzungumzia kuhusu kuchaguliwa kwa Mh. Tundu Lisu mbunge wa Singida Mashariki kuwa Mwenyekiti/President wa TLS.
Kwanza kabisa tuangalie MIFANO kutoka katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki:
Kenya:
Mwenyekiti wao wa LSK Lawyer Issac Okero SI MWANASIASA.
Uganda ULS-Francis Gimara SI MWANASIASA.
Rwanda Bar Association-Kavaliganda SI MWANASIASA.
Kwa nini sisi hapa mwenyekiti wa TLS ni MWANASIASA na tena ni MBUNGE?
TLS kumchagua Tundu Lisu najua ilikuwa ni PROTEST VOTE against the establishment. Ikiwa hatakuwa CHECKED itawagharimu.
Najua uchaguzi umeisha na niaamini REALITY na reflection imeanza KU SINK in kama KWELI Tundu Lisu ata FIT katika WADHIFA HUO bila kuleta MIGONGANO isiyo na tija.
Kwa nini nina mashaka kuwa TLS iko katika shida kutokana na uamuzi huo? Baadhi ya sababu ni kuwa:
I.Itakuwa ni vigumu sana kwa Tundu Lisu kufanya
kazi zake za uenyekiti bila kuwa na MIEGEMEO ya KISIASA ambayo ITA DENT IMAGE ya TLS kama chombo cha WANASHERIA wasio na MIEGEMEO ya KISIASA.
2. Itamuwia vigumu kutekeleza majukumu MAWILI, Moja la JIMBO lake na pia MATARAJIO ya Members wa TLS. ikiwa ni pamoja na kuandaa SEMINA, MAFUNZO, KUSAIDIA wananchi katika mambo ya sheria ya UKAWA, CCM na WASIO na Chama
3.Ndani ya TLS kuna wale MEMBERS ambao si CHADEMA. How will he be able to BALANCE that? Nk.
4. Je ATAPOKEA mishahara MIWILI na MARUPURUPU ya TLS na ya BUNGE?
Ushauri wangu kwa Mh. Tundu Lisu ni vizuri AJIUZULU wadhifa mmoja ili kuzuia CONFLICT of INTEREST kati ya SERIKALI, Wanachama, na TLS. Bila hivyo CREDIBILITY yaTLS itakuwa DENTED na HAITAHESHIMIKA tena.