Mara: Wananchi wavamia mgodi wa Dhahabu wa Nyamongo na kupora Polisi wakiwepo!

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Wananchi wamevamia mgodi wa Nyamongo uliopo tarime kufuatia kauli ya mbunge wao,

Vyombo vyetu vya dola navyo vinaonekana kuendeshwa kwa mihemko badala ya weledi, kama kuna madai kwa nini yasifanyiwe kazi na muwekezaji kuchukuliwa hatua kisheria?

 
Lazima wajisafishe kwa mtindo huo, ila wakisikia ukawa wanataka kuandamana kumpongea Rais, watawazuia
 
Wananchi wamevamia mgodi wa Nyamongo uliopo tarime kufuatia kauli ya mbunge wao,

Vyombo vyetu vya dola navyo vinaonekana kuendeshwa kwa mihemko badala ya weledi, kama kuna madai kwa nini yasifanyiwe kazi na muwekezaji kuchukuliwa hatua kisheria?Tarime hatunaga weledi katika kukamata mwizi Muraaaa, huku bhita ni bhita Muraaa!!!
 
Khee mi nilijua wanatania,wamevamia kweli??Mbunge Heche hawatamuacha salama asee
 
safi sana wakimaliza huko wahamie kwa viongozi mafisadi ni mwendo wa kuingia na kujichukulia walivyoibiwa
 
Back
Top Bottom