Jelavic
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 180
- 380
Habari wakuu.
Kwanza mshukuru mungu kwa kua salama kwani mpaka muda huu haujatekwa na hivi hauna jina yan ukitekwa hatutosikia taarifa zako hata kwa balozi wa nyumba kumi
Historia kutekwa hai kuanza Leo katika ardhi ya Tanganyika kwani kunawatu hufanywa njia yakuwezesha jambo flan kisiasa kisha hupotezwa ili kupoteza ushaidi wa jambo lile nadhani mnaozionaga picha za muungano mzee karume na nyerere wakisain hati ya makubaliano ya muungano kuna mashahid wawili pale basi watu wale hufanana kabisa na maudhui hii najua umenielewa
Ndugu.zangu niliwahi kuandika humu sheria mpya ya CCM ni ushindi mkubwa dhidi ya wapinzani wao chadema lakin najua hamkunielewa na wengine bado hamto nielewa lakin ukwer nikwamba adhari ya yajuu ya mabadiliko Yale ni kukatamaa kisiasa kwa mzee lowassa
Kwa wanaomfatilia baada ya tukio lile la kubadilisha baadhi ya sheria ambazo zinampa ujasiri rais wa CCM wa sasa kugombea Mara ya pili bila kupingwa ndani ya chama kuwa ni sheria na sio USTARABU wa chama kama ilivo mwanzo kunamfanya mzee akate tamaa kila anapofikiria uchaguzi ujao
Mzee anaogopa kuonekana bado mpinzani tishio asije akapigwa vita na kupotezwa kabisa kama wanaovofanyiwa wengine
Kapoteza mvuto kabisa kisiasa anastaili kupumzika kwani hata bigijii au banzoka ikiisha utamu hakuna namna zaidi ya kuitema na kubugia nyingine
Nawashauri CHADEMA msifikirie sana kuhusu lowassa kwa sasa kwani kila kitu na mwisho wake na mwisho wa lowasa umeisha ,hivi sasa mtumien mzee huyu kama mshauri tu kama walivo wazee wengine wa CHADEMA
kusema ukwer kunagharama kubwa hasa kipindi hichi ambacho wasukuma wawili wanauwezo wa kuchunga ng'ombe million hamsini lakin bado sio kikwazo cha kashindwa kusema nitaendelea kutumia kalam kusema kwa kadri ninavolewa na MASI HASA ya nchi hii
Naomba kuwasilisha