Recent content by adidas power

  1. adidas power

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mwisho wa dunia ni wapi ?
  2. adidas power

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Hata Mimi nina tatizo Kama Hilo, yani haifunguki kabisaa.., ukiwapigia customer care hawapokei simu
  3. adidas power

    JamiiForums Tanzania Basi jipya la Simba halina hadhi

    Sawa haina hadhi, ila umechangia shilingi ngapi kununua, tulia wewe Utopolo...
  4. adidas power

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

    Tatizo unatanguliza maslahi ya chama kuliko utaifa...
  5. adidas power

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli amefariki dunia

    Mtashangaa Jamaa kesho yupo hewani kama kawaida anapiga Kazi...
  6. adidas power

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli amefariki dunia

    Siyo kweli...
  7. adidas power

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

    Kwa hiyo maombi yatatumwa upya au yatatumika maombi yaliyotumwa awali kupata hizo nafasi 5000?
  8. adidas power

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

    Maalim seif na Membe wamemaliza Kazi yao waliotumwa...
  9. adidas power

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

    Hakuna kitu hapa, ni kiini macho tu wote wanafahamu mchezo unaochezeka, siasa za bongo[emoji706]
  10. adidas power

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Siasa ni kiini macho tu, mchezo wanaujua wanaoucheza
  11. adidas power

    JamiiForums Tanzania Mtu gani uliwahi kukutana naye mara moja tu hujakutana naye tena mpaka leo unatamani umuone kwa mara nyingine

    Jamaa mmoja anaitwa George Dominick, alikuwa mtu poa Sana tulisaidiana kwa mengi, tulipotezana baada ya kuhama shule 2011 Musoma huko...
  12. adidas power

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    [emoji23][emoji23][emoji23] ngoja dawa iwaingie na bado kampeni hazijaanza,Lumumba mna shida sanaa
  13. adidas power

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwenye hii ya Upakaji rangi Magari

    Suala la uuzaji wa rangi pia ni zuri nalichukua mkuu, ila kuna vijana wapo wenye ujuzi wa upakaji rangi tutasaidiana nao mimi nitakuwa msimamizi.
  14. adidas power

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwenye hii ya Upakaji rangi Magari

    Hapana mimi siyo fundi
Back
Top Bottom