Recent content by adakiss23

  1. adakiss23

    JamiiForums Tanzania UNAWEZAJE KUWA MCHAFU NAMNA HII NA KUNYWESHA WENZIO UCHAFU

    Ila ndizi utumbo unakula 😂😂
  2. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya abiria kupanda mishikaki, inasababishwa na hali ya uchumi, au ndio yale mambo ya kutokulinda mgongo?

    Kuna jamaa alipata taarifa kuwa mwanamke wake yuko na mwanaume mwingine gesti akaja na masela. Kafika pale kakuta demu kachomoka dk chache huku na huku akamkuta road kwenye boda kapanda mshkaki na mwanaume tofauti kabisa. Ilikuwa kivumbi hadi wanakuja kuelewa kuwa huyo jamaa aliunga boda vumbi...
  3. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Sasa ushauriwe nn hapo. Kula kona mufti
  4. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za uhamisho kwa mwanafunzi wa sekondari anayetoka nje ya nchi na kuhamia Tanzania

    Anzia NECTA kupata equivalent. Last time ilikuwa laki 1 after 2 weeks nadhani inakuwa tayari. From there ndo utanitumia kuingiza taarifa zake katika system za tanzania. Moja ya lengo la equivalent ni kujua kama hizo reports za shule huko SA ni genuine au la. Pili, kuzibadili zimeandane na...
  5. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Wanaume hakuna raha kubwa wanayoipenda wanawake kama pale wakimwaga maji

    Mkuu unapata lunch? 😂
  6. adakiss23

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kuuliza sio ujinga. Kuna sheria inabidi mtu atimize miaka mitatu ili aweze kupata nafasi ya transfer. Swali miaka 3 kwenye taasisi toka uajiriwe au miaka 3 ktk nafasi uliopo? Hapa namaanisha mfano uliajiriwa ktk taasisi X miaka 10 ktk nafasi fulani, then ukaongeza elimu recently ukapanda cheo...
  7. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Magazeti ucharwa Tanzania yagoma kuandika habari za Simba

    Mechi imeisha saa 3 usiku muda ambao magazeti tayari yameshachapwa. Unless kuwe na habari kubwa ndio wanaweza kuchelewa kuchapa (saa 5+). Na endapo kuna habari nzito/kubwa sana ambayo inatarajiwa kuchelewa sana magazeti yanaweza kuchapa kawaida yakaenda mkoani then ikasubiriwa hiyo habari hata...
  8. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Mkuu utalogwa very soon. Kwa uchawi noma sana. Na yeye anajua wewe sio class yake so kukutengeneza ni DK sifuri tu.
  9. adakiss23

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Tatizo washirikina balaa.
  10. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama imechakatwa kupita kiasi?!!!

    Anuse ugoro basiiiii
  11. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

    Sababu ni zile zile 1. Lack of education 2. Poor infrastructure 3. Poverty 😂😂😂
  12. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Mizimu ya kwetu haitaki uoe kabila nyingine tofauti na msukuma.

    Era hii bado mnawaza mizimu 😂
Back
Top Bottom