Recent content by abuuh yazeed

  1. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Gari ya Lissu iliyopigwa risasi inaweza kuwa ni kivutio kwa wengi na kumbukumbu nzuri kwa tukio lile la kusikitisha

    Acheni siasa za kijinga. Yaani utalii kwa gari iliyopigwa risas..? Mungu saidia tanzagiza hii...
  2. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lisishiriki kwenye mchezo mchafu wa kuwahadaa Watanzania, Mkurugenzi wa Yono akamatwe

    Kweli kabsaa..!! #Million 900 itapendeza#
  3. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

    Mkuu pole sana kwa maswahibu yaliyo kukuta. Ngoja nikufafanulie kwa ufupi Vipimo vya HIV for standard diagnosis vipo vikuu viwili. Kuna kinachoitwa(1)SD Bioline hiki hupima HIV ambapo huchukua dakika 5 mpaka 15 kutoa majibu. ( 2) kuna kipimo kingine kinaitwa UNI GOLD hiki pia hufanya kazi...
  4. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kusoma kipimo hiki cha UKIMWI

    Hahahahahahahaaaaaaaà...!! Uuuwìiii
  5. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Natafuata kazi ya record keeping

    Habar wakuu. Naombeni msaada kuna mdogo wangu binti wa miaka 23 amemaliza chuo cha utumishi tanga. diploma in record keeping and management. Ana vyeti vyote na sifa zote muhimu za kuajiriwa yupo daresalaam. Yupo tayar kufanya kaz mkoa wowote ndani ya tanzania au hata nje ya tz..
  6. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania BIKO inapiga goli la mkono, ni mchezo wa kamari na utapeli tupu

    Hahahahaaa
  7. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuhama chuo wale wa nacte diploma.

    Taratibu huwa unaanzia chuo ulicho chaguliwa then wao wana kuandikia barua kwenda nacte huko nacte then wanakubadilishia
  8. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Anaethetist anatafuta kazi

    Any way..!! naona watu mnaleta masikhara wakat ni jambo la ukweli. Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia thus why i do this..!! But nipo serious kwa maelezo ya ziada namba zangu 0712268339
  9. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Anaethetist anatafuta kazi

    Ni rafiki yangu ndio. but naongea kwa niaba yake...!!
  10. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Anaethetist anatafuta kazi

    Hahahahaaa...!! Ni kweli sema mazingira yalikuwa magumu na Niliacha kaz kwa sababu ya maslahi duni. Nipo tayar kupiga kazi mwanza, Dar na Arusha, even hata nje ya nchi
  11. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Anaethetist anatafuta kazi

    Wakuu habar za humu. Kuna rafiki yangu ni anaethetist. Anatafuta kazi vyeti vyoote anavyo. na ana uzoefu wa kazi kwa miaka 3. Mwenye hosptal ya private kwa daresalaam,arusha, au mwanza yupo tayar.!
  12. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Tabia 18 za watu wenye uwezo mkubwa kiakili

    Fact
  13. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa milioni 8

    Nauza kiwanja kwa bei nafuu sana kipo maeneo ya chanika standi daresalaam kina urefu wa nusu hekari. Hakina mgogoro, kina hati miliki zote kipo mjini kabsa namba zangu 0712268339 Karibu tuongee biashara
  14. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sayari Ambayo kila mtu and Uwezo wa kwenda bila gharama yeyote.

    Haahahahaa mama Faiza bhana Shikamoo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. abuuh yazeed

    JamiiForums Tanzania Mwenye tv ya flat screen inch 21

    Nishakucheki mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom