abuuh yazeed
Member
- Nov 4, 2016
- 50
- 14
Wakuu habar za humu. Kuna rafiki yangu ni anaethetist. Anatafuta kazi vyeti vyoote anavyo. na ana uzoefu wa kazi kwa miaka 3. Mwenye hosptal ya private kwa daresalaam,arusha, au mwanza yupo tayar.!
Huyu ni mtu anaetoa dawa ya usingizi kabla ya operation (mtu wa usingizi)anaethetist ndio nani?
Sio rahisi kwa mtaalamu huyo kukosa kazi serikalini labda uniambie ni mmoja wa waliokumbwa na sakata la vyeti feki
ok, thanks mkuuHuyu ni mtu anaetoa dawa ya usingizi kabla ya operation (mtu wa usingizi)
Si umesema rafiki yako?Hahahahaaa...!! Sina vyeti fake wakuu. Niliacha kaz kwa sababu ya maslahi duni. Nipo tayar kupiga kazi mwanza, Dar na Arusha, even hata nje ya nchi
Ni rafiki yangu ndio. but naongea kwa niaba yake...!!Si umesema rafiki yako?
Kuomba kazi tu unadanganya?!!!
aseee kila laheriNi rafiki yangu ndio. but naongea kwa niaba yake...!!
huyo rafiki yako yeye ni kitoto cha miaka mitano mpaka ashindwe kuja jf kuomba kazi mwenyewe?Ni rafiki yangu ndio. but naongea kwa niaba yake...!!
Si umesema rafiki yako?
Kuomba kazi tu unadanganya?!!!
Wakuu habar za humu. Kuna rafiki yangu ni anaethetist. Anatafuta kazi vyeti vyoote anavyo. na ana uzoefu wa kazi kwa miaka 3. Mwenye hosptal ya private kwa daresalaam,arusha, au mwanza yupo tayar.!
Hahahahaaa...!! Ni kweli sema mazingira yalikuwa magumu na Niliacha kaz kwa sababu ya maslahi duni. Nipo tayar kupiga kazi mwanza, Dar na Arusha, even hata nje ya nchi
Ni rafiki yangu ndio. but naongea kwa niaba yake...!!
Kweli kuna dalili ya mtu kupewa usingizi wa mweziKudanganya inaweza isiwe shida kubwa kama kusahau. Asije anakula usingizi halafu akasahau akakuongezea usingizi wa mwezi mzima. Dah
Ndugu, huyo ndugu yako ni msomi wa ajabu, sioni kama kuna msomi karne hii ambaye awezi kujitafutia kazi hadi asubiri kutafutiwa na ndg yake. Najiuliza, hivi yeye ameshindwa nini kuandindika ujumbe kama huu hapa yeye mwenyewe kuliko wewe kuandika kwa niaba yake. Kwa ufupi, mimi kama mmoja ya waajiri nadhani huyo ndg yako hafai kuajiriwa na akiajiriwa kuna uwezekano mkubwa akauwa watu.Wakuu habar za humu. Kuna rafiki yangu ni anaethetist. Anatafuta kazi vyeti vyoote anavyo. na ana uzoefu wa kazi kwa miaka 3. Mwenye hosptal ya private kwa daresalaam,arusha, au mwanza yupo tayar.!