mesh97 Member Joined Oct 19, 2017 Posts 5 Reaction score 4 Oct 22, 2017 #1 Msaada plz. Kuhama chuo cha government kwa walio chaguliwa na nacte diploma talatibu za kufata ni zipi..? Na Lin wataluhusu kuhama? Msaada plz wakuu!!
Msaada plz. Kuhama chuo cha government kwa walio chaguliwa na nacte diploma talatibu za kufata ni zipi..? Na Lin wataluhusu kuhama? Msaada plz wakuu!!
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,860 Oct 22, 2017 #2 mesh97 said: Msaada plz. Kuhama chuo cha government kwa walio chaguliwa na nacte diploma talatibu za kufata ni zipi..? Na Lin wataluhusu kuhama? Msaada plz wakuu!! Click to expand... Talatibu-taratibu Wataluhusu-wataruhusu Uandishi wako mbovu kweli aiseee
mesh97 said: Msaada plz. Kuhama chuo cha government kwa walio chaguliwa na nacte diploma talatibu za kufata ni zipi..? Na Lin wataluhusu kuhama? Msaada plz wakuu!! Click to expand... Talatibu-taratibu Wataluhusu-wataruhusu Uandishi wako mbovu kweli aiseee
abuuh yazeed Member Joined Nov 4, 2016 Posts 50 Reaction score 14 Oct 22, 2017 #3 Taratibu huwa unaanzia chuo ulicho chaguliwa then wao wana kuandikia barua kwenda nacte huko nacte then wanakubadilishia
Taratibu huwa unaanzia chuo ulicho chaguliwa then wao wana kuandikia barua kwenda nacte huko nacte then wanakubadilishia
K kiatu kipya JF-Expert Member Joined Dec 4, 2016 Posts 3,269 Reaction score 1,979 Oct 22, 2017 #4 Nenda kasome utapoteza muda bure mambo ni magumu
mesh97 Member Joined Oct 19, 2017 Posts 5 Reaction score 4 Oct 22, 2017 Thread starter #5 abuuh yazeed said: Taratibu huwa unaanzia chuo ulicho chaguliwa then wao wana kuandikia barua kwenda nacte huko nacte then wanakubadilishia Click to expand... Poa poa mtalaam..
abuuh yazeed said: Taratibu huwa unaanzia chuo ulicho chaguliwa then wao wana kuandikia barua kwenda nacte huko nacte then wanakubadilishia Click to expand... Poa poa mtalaam..
mesh97 Member Joined Oct 19, 2017 Posts 5 Reaction score 4 Oct 22, 2017 Thread starter #6 f de solver said: Talatibu-taratibu Wataluhusu-wataruhusu Uandishi wako mbovu kweli aiseee Click to expand... Thumb[emoji106] langu limeleza apo..!! nimekupata..
f de solver said: Talatibu-taratibu Wataluhusu-wataruhusu Uandishi wako mbovu kweli aiseee Click to expand... Thumb[emoji106] langu limeleza apo..!! nimekupata..