Recent content by Abuu yaseer

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    Aliniomba hela nikawa sina kwa wakati huo, akakasirika, akiamini nimemnyima tu kumbe sikuwa nayo kweli. Aka mind na urafiki ukakata
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

    Ase, hii thread ya miaka 5 nyuma na jina nilake kabisa, daah ase humu kuna watu wanafukua makaburi sio mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mshkaji anahitaji msaada maana hili suala nilamuda sasa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Kuna mambo mawili hapo, 1.mpeleke mtoto wako kwenye specialist za watoto upate maelezo ya kitaalam, 2.Inawezekana ana athari ya majini na mapepo machafu. usimpeleke kwa waganga mtafute kiongozi wa iman yako, haya mambo yapo sana na yanatesa sana Pole sana
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuko wapi?

    Endelea na kampeni yako yakukataa ndoa muda sio mrefu utaenda kukutana na aliyeziumba jinsia zote mbili na aliye amrisha watu kuoana, andaa majibu sahihi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nazidi kupunguza mapenzi kwa mke wangu, naanza kufikiria kumuacha

    utaacha wangapi? Kaeni chini myamalize mambo yenu kimya kimya . Alafu kwenye simu ya mke na mume ni ruksa kila mmoja ashike na akague kila kitu, WANANDOA MJIAMINI Mkiona simu wanandoa hawabadilishani ujue hapo bado kuna shida
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Burnet mwenye nacho jamani tashkuru sana
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa ufanyiwe marekebisho

    Pamoja na tofauti zetu za rangi,kabila,dini,mitazamo still sisi ni waafrica, Mungu ibariki Afica.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

    Chanzo kikubwa cha madhambi huanza pale unapokuwa mlevi, ulevi ndio chanzo hasa cha maovu, ukitoa ulevi ustaarabu pia utakuwepo mahala
  9. A

    JamiiForums Tanzania MKASA: Ulaaniwe marehemu kaka. Alaaniwe Bibi Harusi wako pia

    Ukikaa kimya hivi unakua bored sasa
  10. A

    JamiiForums Tanzania MKASA: Ulaaniwe marehemu kaka. Alaaniwe Bibi Harusi wako pia

    Nafatilia,
  11. A

    JamiiForums Tanzania MKASA: Ulaaniwe marehemu kaka. Alaaniwe Bibi Harusi wako pia

    Na wait
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

    Kufunga unajua ww, yaan usiku na mchana masaa 24 ndo siku moja bila kuonja kitu chochote Wallah hutoboi siku 5, au labda kama kuna maana ya funga nyingine, labda kutokul nyama kwa siku 40, au ugali nk, ila sio ile funga tuijuayo
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

    Uongo!! Hiyo ni uwongo bana!!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji106]
Back
Top Bottom