Vitabu vipi naweza soma kwa ajili ya malezi bora kwa mtoto?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,912
Tuende mbele turudi nyuma mtoto si kumlisha na kumsomesha tu. Malezi ya kitabia ndio kipengere na hapa hakuna mbabe !!Hata uwe mkali vipi mtoto anaweza kukushinda tu kwa kuwa na tabia zisizo faa au kutokua na tabia unazozitegemea.

Kuna vitu kadhaa kadhaa kwa kijana wangu nimechemka kabisa kumbadilisha richa ya kumpiga ,Kuongea nae na mbinu zote.Sasa nikapata wazo la kusoma vitabu najua siwezi kosa mbinu zaidi!!

Je ni vitabu gan naweza soma kwa ajili ya kushinikiza tabia fulani na zikamuingia mtoto passipo kumpiga.

Wataalam wa vitabu karibuni
 
Mkuu ndio ninavo vihitaji mkuu maana hao wanasoma kwanza psychology ya mtoto
1707023956289.png
 
Attachments

  • The Whole-Brain Child 12 revolutionary strategies to nurture your childs developing mind (Sieg...pdf
    4 MB · Views: 9
Tuende mbele turudi nyuma mtoto si kumlisha na kumsomesha tu. Malezi ya kitabia ndio kipengere na hapa hakuna mbabe !!Hata uwe mkali vipi mtoto anaweza kukushinda tu kwa kuwa na tabia zisizo faa au kutokua na tabia unazozitegemea.

Kuna vitu kadhaa kadhaa kwa kijana wangu nimechemka kabisa kumbadilisha richa ya kumpiga ,Kuongea nae na mbinu zote.Sasa nikapata wazo la kusoma vitabu najua siwezi kosa mbinu zaidi!!

Je ni vitabu gan naweza soma kwa ajili ya kushinikiza tabia fulani na zikamuingia mtoto passipo kumpiga.

Wataalam wa vitabu karibuni
Soma hiki hapa pia, ili wote mujirekebishe.

Kinabalansi mambo, yaani love and logic ni madini sana. Parenting With Love and Logic

Kula chuma iki
 
Attachments

  • parenting with love and logic.pdf
    1.8 MB · Views: 8
Kulea ni mpaka usome vitabu?
Usiposoma vitabu au kua na uelewa fulani mambo kama haya kwenye uzi ndio yanaweza kujitokeza
 
Sawa
 
Back
Top Bottom