Acha usengerema wewe nyie ndo wale watoto wa kiswahili mnabaki kusema wachaga wachawi.wezi. uku tunazidi kuwaamisha mjini na uko mnako amia baada miaka tunakuja kiwanunua pia kama amtafanya kazi
Kaua mchawi au mwizi na wewe ili ufanikiwe acha mboyoyo za k.....a
Mkuu nilikuwepo uko mwaka jana mwanzoni nazani mojawapo ya nchi nzuri za kiafrika kuanzia kwa watu na mazingira ila garama za kutalii ziko juu kiasi
Njia ya kufika mm nilitokea (nbo) nairobi kwa maana ni karibu nakoishi arusha flight cost was around 2240 usd 2 way Conection 3 maxm hours 15 hrs...
Dhu! Aisee kweli ni bangi man maana miaka kadhaa iliyopita nilikataa kwenda chuo "abroad" kisa ni mapenzi ya kibangi bangi nashukuru mzee alielewa mapema akaniacha ganja ziishe kwanza.dhu ila uyo manzi alinivuitisha kushabo kabisa sio ganja tu nilikua nimedata man
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.