wenye wapenzi someni hapa mnaibiwa

delusions

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
5,003
1,279
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..

yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu

Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja

Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee

Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..

ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..

yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..

Umewahi kufeel hivyo??

Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!
 
Dhu! Aisee kweli ni bangi man maana miaka kadhaa iliyopita nilikataa kwenda chuo "abroad" kisa ni mapenzi ya kibangi bangi nashukuru mzee alielewa mapema akaniacha ganja ziishe kwanza.dhu ila uyo manzi alinivuitisha kushabo kabisa sio ganja tu nilikua nimedata man
 
Oya nyi maboya acheni hizo. Mnasingizia bangi tu bure bila sababu. Waliomfunga babu seya na papii kwani wanavuta bangi? Mzee wa jivisenti anavuta bangi? Le proffeseri alhaj anavuta bangi?? Acheni hizo bana kwa taarifa yako wanaovuta bangi si waonevu na hawaletei watanzania wenzao umaskin na wala hatujakomba na kukausha hazina. Mtuache tu tulivyo.
 
i Kama ushawai fall in love ile haswaa..

yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu

Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja

Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee

Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..

ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..

yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..

Umewahi kufeel hivyo??

Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!

Umenifanya niamke aisee, umenkumbusha mbali sana wewe
 
Duh, mchana mnashinda wote alafu usiku una kopa hela ukanunue vocha ili umpigie? Nimeipenda hyo
 
Haya mapenzi yamefanya nihonge pocket money yangu shuleni na wakati huo nyumbani uchumi duni wewe mapenzi ni umbwa nakuchukia sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom