Ebu angali hiyo chupa kwa ukaribu! Hiyo pombe imekuwa "aged" kwa miaka 12! Ina maana imetengenezwa 2004 na ilikuwa "inaiva" kwa miaka yote hiyo! So, usishangae bei yake.
Mtani nazani miaka iko kwenye wineMohans Oysterbay zipo nyingi tuu ughali unatokana na miaka
Ipo pia kwenye vikaliMtani nazani miaka iko kwenye wine
Sina akika kwenye whisky
Sijui kwakweli angalia hizi hapa na miaka yakenipe kaufafanuzi mkuu miaka kivipi kwa kukaa sana kwa maana ya fermentation?
aisee sikujua hiyo km pombe zingine zinawekwa TANZANITE sasa ikiwa na #rubi itakuwa ni tshs ngap hapo si balaa beimadini ya tanzanite