Bibi wa Miaka 80 afika kileleni K'Njaro na kucheza "Mdundiko"..!

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
24,736
24,790
5687a127c3618896448b4626.jpg


5687a1ddc36188734a8b4626.jpg


Ni bibi kutoka Urusi anaitwa Angela Vorobyeva (86), ni mpenzi sana wa safari. Na amevunja rekodi na kuingizwa kitabu cha The Guinness. Hongera sana wote waliyofanikisha kumuleta mtalii huyu hapa nyumbani. Hapa KAzi na Haki TU.
Habari hii ni kwa mujibu wa RT.com
>>>86yo woman conquers Kilimanjaro, dances up the mountain (PHOTOS, VIDEO)
 
Ile barafu kwenye kilele cha mlima wetu imepotea kiasi hicho au inajificha kama kichwa cha kobe kwenye gamba na kutokea baadhi ya nyakati?
 
Basi Mimi nimefungua link fasta aaaaa kumbe!!! Mawazo yangu yalikua mbaaaaali
 
Umewapleka watu mbaali.. ungemalizia cha mlima Kilimanjaro... teh! teh! teh...!
 
Duuuh! Hakko kabibi ni sheedah...sitaki nikumbuke siku napanda mt. Kilimanjaro for the first time nikiwa kama Porter na dumu la maji kichwani(20Lts)....

A way from Baranco to Barafu..
 
Back
Top Bottom