Wale jamaa walikuwa na watu wao ile paper danganya toto,nimeangalia asilimia kubwa ya namba zilizofaulu kwa mfano km namba hiyo ni 200 amefaulu DSM na mkoani pia sasa huo si uzushi,waende zao na uzushi wao
Hayo majibu ya kupikwa tuuu Wewe watu elfu nne waweze sahihisha kwa siku nne tuu huo ni uzushi bora tujiajiri hapa km huna wa kukushika mkono bora tukalime
vp jamaa alifikia angani au?uchaguzi Kalenga kampeni Iringa Mjini,ni Chalinze watakuja Dsm wapige kampeni za uchaguzi wa Chalinze eti kuhamasisha wanachalinze waaishio Dsm kurudi Chalize wakapige kura nyie achene hizo,hao waliowapa hizo pesa za Obama watakuja kuzidai waulizeni...
ninyi movement for cash huwa hamna hoja bali porojo tu na matusi,nina wasi wasi wengi wenu mnavuta majani au mnabwia unga maana mtu mwenye akili timilivu hawezi kamwe kuwa cdm maana ninyi mnashabikia na kujihusisha na mambo msiyoyajua,poleni sana,anguko lenu lipo mlangaoni.
Napita tu,Lissu alipozungumzia ugaidi akataja uislam,vp na kule wanakopigana kutaka kujitenga na uanglikana nao ni waislam,ninyi movement for cash wachezi hizo bana
naam mjukuu wa mtei,vp kuhusiana na tra vp hazina vp tanapa etc nako tupaiteje,ninyi wakataaloki ni wa kubebwa kwa kuwa mbeleko zenu zimechanika hamuishi kubwabwaja kila kukicha tumewachoka sasa na chama chenu cha chadomo
those are your thought even a child would have the dream of becoming the great businessman but when he actual grow up he will realise that was a day dream...childish
UNYONYAJI NA UTUMWA MAMBOLEO UNAOFANYWA NA WAHINDI KWA WATANZANIA WASIO WAHINDI
WAHINDI NA UFISADI WA RASILIMALI WATU
Napenda kuchukuwa fursa hii adhiim kuwatanabaisha Watanzania hasa mawaziri wa wizara husika juu ya madhila yanayotokana na ndugu zetu Wahindi kwa Watanzania wenzao ambao si...
Habari wadau,Km mfanyakazi wa Serikali natoa hoja ya sisi wafanyakazi wa Serikalini tuhame kuitumia NMB kupitishia mishahara yetu kwani uongozi na wafanyakazi wameonesha kushindwa au kuzidiwa na kazi kiasi kwamba kuna baadhi ya wafanyakazi hasa wa tasnia ya Ualim wameshindwa kupata mishahara yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.