mzalendokweli
JF-Expert Member
- Apr 21, 2012
- 579
- 138
mwe. yaan imefika mahali mtu haitaji kusoma uso ili kujua kua kinachosemwa ni unafiki.
Hii press release imeandikwa na mulongo mwenyewe
umejieeza sana kwa kujichanganya, pima kwanza walengwa ukichukulia teyari wameshafikiwa na habari picha.
Njie vijana mkuu wa mkoa na yeye alipitia kwa uongozi wa chuo? Wacheni kumnyima mbunge haki yake kuongoza kwa kua anatoka upinzani. Hii dhambi ya hila za kila namna itaitafuna ccm hadi mwisho baada ya kuwageuka wakulima na wafanyakazi toka chama cha ujamaa na kujitegemea na kua chama cha kutetea unyonyaji na mabwanyenye.