Things Fall Apart in CHADEMA

Things Fall Apart in CHADEMA

mkuu hiki kitabu cha 'things fall apart'' uliwahi kukisoma au?

Mkuu Meningitis!

heshima kwako Mkuu!

Akisome wapi wakati ni zao la Kawambwa!! MEMKWA tupu atajua wapi "theme" ya kitabu hiki zaidi ya kudakia maneno asiyo yajua!!???
 
Wanaume wakati wao wanauswahiba na kile chama cha uk kinachounga mkono ushogaaa?isije na wao wakawa ktk mashaka km wenzao
 
Mtu ametoa taarifa ya kile alichokiona na kukisikia, watu badala wajadili hoja wanajadili mleta mada....poor you vijana wa kinondoni manyanya

unanikumbusha ule uzi wako ulioanzisha mwenyewe halafu ukachangia mwenyewe usiku mzima
 
tangu jana unaanzisha uzi tofauti tofauti kushambulia CDM vp tayari umeshachukua posho. Kitabu cha things fall apart umekisoma kweli, au akili zako zipo chini kwenye kabaang'

Ndio tatizo la wasomi wa leo. "Things fall apart" ni msemo wa kawaida wa kiingeleza si lazima uuoanishe na kitabu kila linapotumiwa upo hata kabla hicho kitabu hakijatungwa!!!
 
1. Naona ulikuwepo kwenye kikao. Elezea undani wa mazungumzo yalivyokwenda.

2. Suala la Rwakatare ni la CHADEma? Abu ni kweli kwamba mlilibuni ili hatimaye mkihusishe chama CDM?

3. Kwa mtazamo huo sasa jamii Lkwamba mko katika mchakato wa kumtumia LUDO ili awa implicate viongozi wakuu wa CDM ili chama kiathirike?

4. Hivi mtu kama wewe, unakubali kutumiwa na ccm, na wewe bila kutumia akili unakubali kutumika. Unalipwa nini ambacho kitaifanya familia yako, ukoo wako wote na vizazi vyao waishi maisha yasiyoguswa na uozo unalozidi kurutubishwa na utawala wa ccm?

5. Unaelewa ni kwa kiwango gani ccm unayoisaidia imechangia wewe kupoteza maisha ya ndugu zako na ama kuwafanya waishi maisha yaliyo chini ya kiwango?.

6. Mungu alikuumba na dhamira. Tafakari sanana kama wa tz wa leo na kesho watakuombea heri kwa ajili ya huu ukibaraka unaoufanya.

Zingatia kwamba, MAISHA YAKO YOTE YAKO MIKONONI MWA MUNGU ANAYEKUJUA NA SIRI ULIZOBEBA.

asante mkuu!! Message delivered to him and others with brain wash like him!
 
If Things in Chadema Fall Apart, who is to benefit? Is it CCM, which has failed to live to its promise? or is it the people who need a voice to express the difficulties in life like inflation, poor health service, lack of effective development visions and plans, power shortage,lack of good governance and corruption, .....?

Ni ngumu sana kuimaliza Chadema sasa, CDM ni umma na umma ni chadema, ukitaka kuimaliza CDM umalize umma.
 
Siasa za bongo na muendelezo wake..............Tutafika tu
 
Mara ngapi mkuu ccm wamekaa chimwaga hadi alfajili kwa mambo ya kijinga sembuse cdm. Mkuu unatoka wapi hujui mambo ya nchi hii
 
ninyi movement for cash huwa hamna hoja bali porojo tu na matusi,nina wasi wasi wengi wenu mnavuta majani au mnabwia unga maana mtu mwenye akili timilivu hawezi kamwe kuwa cdm maana ninyi mnashabikia na kujihusisha na mambo msiyoyajua,poleni sana,anguko lenu lipo mlangaoni.

Kialisia si mbaya kutoka saa nane wala si hoja! Nadhani hoja walikuwa wanajadili nini, wamepata Muafaka gani, mbona nikitazama mwenendo wa Kesi ya Lwakatare kama Chadema wamejipanga zaidi ya Serikali?

Kimtazamo tu, serikali kama imeona kuwa haina hoja za kushinda, licha ya kupelekamashitaka kwa shinikizo, kwakuwa kama si kwashinikizo haya tunayoyaona leo yalitakiwa tuyaone January baada tu ya tamko la Mchumk Daraja la Kwanza.
 
Ivi kwa cdm mapinduzi n kumwondoa ccm madarakani? Watanzania hatutaki mapinduz hayo tnataka elimu kama ilivo japo c over night but gradually na tnaamin tutafika tu!tjipange na ccm daima!
 
Maeno ya mkosaji hata ufanyaje. Ukweli utabaki palepale kawarudishia magamba ujumbe kuwa umenoa
 
ninyi movement for cash huwa hamna hoja bali porojo tu na matusi,nina wasi wasi wengi wenu mnavuta majani au mnabwia unga maana mtu mwenye akili timilivu hawezi kamwe kuwa cdm maana ninyi mnashabikia na kujihusisha na mambo msiyoyajua,poleni sana,anguko lenu lipo mlangaoni.

ccm + cuf mtashindana lakini hamtashinda. Tambueni alama za nyakati. Acheni kupoteza mda wenu kwenye kwenye matendo maovu.
 
ninyi movement for cash huwa hamna hoja bali porojo tu na matusi,nina wasi wasi wengi wenu mnavuta majani au mnabwia unga maana mtu mwenye akili timilivu hawezi kamwe kuwa cdm maana ninyi mnashabikia na kujihusisha na mambo msiyoyajua,poleni sana,anguko lenu lipo mlangaoni.

ccm + cuf mtashindana lakini hamtashinda. Tambueni alama za nyakati. Acheni kupoteza mda wenu kwenye kwenye matendo maovu.
 
'kauli au vitendo vyovyote vinavyorudisha nyuma harakati za ukombozi ni zaidi ya usaliti'. Vikemewe kama shetani
 
Soma mtanzania jumapili ya leo. Video ya lwaka ni ya kweli na ni halisi
 
Nafikiri mtoa hoja katoa kitu ambacho si complete ndiyo maana wengi wamemblastna hatuna sababu ya kumtetea katika hili. Alichotakiwa kutwambia ni majadiliano na resolutions za kikao hicho si muda wa kuisha kwa kikao au muda uliotumika. Pengine baada ya kutaja muda angeliweka kama swali kuliweka kama complete statement ndo kimeprovoke kutoelewana na baadhi yetu. Inawezekana walikuwa wanajadili mambo ya kujijenga na wala si juu ya mitafaruku. Hili liwe fundisho ata kwa watoa hoja wengine kwamba unapotoa hoja hakikisha imekamilika kimjadala siyo kutoa plain statements ambazo hazina facts ndani yake ukitegemea watu waijadili na badala yake utakutana na mitusi.
 
Hatuwezi kwenda ivo na tnataka maendleo ya taifa na c vurugu na upuuz uco na maana unakuja na suruhisho gan?jihoji
 
Hii si hoja bali naiona ktk ushabiki,Mleta hoja anataka kuona tu watu watasemaje lakini hoja haipo na hasa ukizingatia yupo upande wa magamba,Pili fact ya ulichopost haipo bali ni umbulula unakutesa.
 
Engine nzuri ya gari ni ile ambayo ina misuguano mikali ndani yake.Hicho kinacho wafanya CDM wakeshe ofisini,matokeo yake yataonekana 2015.Waache wengine waendelee kulala usingizi watakiona cha moto.Kesi kama itawatia watu hatiani watakabiliwa na hukumu lakini chama kitaendelea na majukumu yake.Mbona CCM ina viongozi wengi wanakesi na wanalala usingizi?Nakutahadharisha kukesha kwa CDM usiichukulie kirahisi,hata hivyo na wewe unaonekana ulikesha ukiwapiga chabo.
 
Ni kweli kikao kiliisha sa 9 usiku na walilumbana sana hofu kubwa waliyonayo ni ya msajili kukifutia usajili
 
Back
Top Bottom