Kuitwa Kazini NSSF

Usichukulie wa2 wachache ukafanya comparison kwa wa2 wote mkuu. Mbona kuna wa2 ambao co waislam wameitwa na wana matokeo mabovu tu? Hiyo ni bahati ya m2 kijana mi mbona huku cjaitwa wkt ukiangalia vyeti vyangu vinaonesha kamanimesoma shule za kiisalam?hiyo bahati ya m2
 
Nasikia kuna Uislam wa kufa mtu huko NSSF. Kama sio muislam hupati kazi. Nchi hii bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwani bank (CRDB) ya serikali? Hapa tunajadili mali za umma. Nyie endekezeni udini, Okampo/ICTR inawangoja.
 
Ikibidi wasiite tena NSSF waiite Muslim Social Security Fund (MSSF) itanoga.

Nasisitiza watashitakiwa tu muda mambo yakiharibika. Wako wapi wanyarwanda waliochochea ukabila? kumbukeni mpaka wahariri wa magazeti na radio za vituo vilivyochochea ukabila vimeshtakiwa Rwanda. Udini sio mzuri jamani, huwezi kuishi bila watu wa dini yako peke yao?
 
kusema kweli nssf wameumiza wengi kwanza walituma sms late kuna watu wawili nawafahamu walikula pipa tokea mikoani kuja kufanya ile written then wakaleta mizengwe ya pekee bila kuzingatia cost watu walizoingia huku wakijua wanahitaji watu wachache duh! mara wanawapigia cm watu for 2nd tym kama walifanya interview wakati walishafanya as if hawakuwasumbua watu wa register b4 interview na wakaandika majina kwenye interview that was not fair kabisa najua wananssf wanapita humu mwambieni yule mama wa hr kuwa it wz nt fair yy kama head ni failer kabisa wamchunguze ability yake ya kuongoza kitengo cha hr
 
Ikibidi wasiite tena NSSF waiite Muslim Social Security Fund (MSSF) itanoga.

Nasisitiza watashitakiwa tu muda mambo yakiharibika. Wako wapi wanyarwanda waliochochea ukabila? kumbukeni mpaka wahariri wa magazeti na radio za vituo vilivyochochea ukabila vimeshtakiwa Rwanda. Udini sio mzuri jamani, huwezi kuishi bila watu wa dini yako peke yao?

naam mjukuu wa mtei,vp kuhusiana na tra vp hazina vp tanapa etc nako tupaiteje,ninyi wakataaloki ni wa kubebwa kwa kuwa mbeleko zenu zimechanika hamuishi kubwabwaja kila kukicha tumewachoka sasa na chama chenu cha chadomo
 
Nafikir hiv ndo vi2 vya mcng vya kuongea co kila ki2 kuingizia maswala ya udin. Kuhusu kujipanga, mi mwenyewe hawakunitumia sms kwenye writen interview , ila nilienda oficn kwao nikalikuta jina langu na wakanipangia cku ya kufanya interview. Kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa kwamba watu weng aidha msg. Hivyo ni hazikuwafikia kama ilivyokuwa kwangu mie. Hivyo ni baadh ya vi2 vichache ambavyo inabid washauriwe
 
:flypig:Mimi nina wa shangaa sana wametusumbua sana alafu baadae upuuzi mtupu lakini nimeshapata ajira sehemu nzuri tu kuliko Nssf kupitia Taesa:yawn:
 
mm mwenyewe niliitwa ile ya pili na nimemwagwa na cjui kwa nn wakati hakuna hata swali moja waliloniuliza lililonishinda,sasa cjui wametumia vgezo gani,hapa nimechoka kabisaaa,kwani mshahara wao sh ngapi kwa wanaoanza?

Niliwahi kusikia kama 1,300,000/= hivi..pole sana! Fanya shughuli binafsi kwa kutumia degree/kisomo ulichonacho. Acha kufikiria kuajiriwa
 
Habari za leo! Natafuta kazi. Nimemaliza chuo mwaka jana pale IFM. Nina digree ya General Admin. Tax. Popote pale nipo tayar kufanya kazi. Cm yangu. 0714430966

Mkubwa kial la heri endelea kuapply ipo siku utakula shavu.
 
ABUMAN acha kulopoka kaka hujui,na hakuna dhambi mbaya kama kubaguana KIDINI!
naam mjukuu wa mtei,vp kuhusiana na tra vp hazina vp tanapa etc nako tupaiteje,ninyi wakataaloki ni wa kubebwa kwa kuwa mbeleko zenu zimechanika hamuishi kubwabwaja kila kukicha tumewachoka sasa na chama chenu cha chadomo
 
poa@Donyongijape,sio kabaya sana kumbe kamshahara chao c haba,ngoja nifundishe twisheni nipate mtaji nikalime kilimo cha umwagiliaji mpunga mie,naweza kutokea huko huko nishaona kazi za bongo mizengwe,bora niwe mjasiriamali tu ndo mpango mzima
 
Ikibidi wasiite tena NSSF waiite Muslim Social Security Fund (MSSF) itanoga.

Nasisitiza watashitakiwa tu muda mambo yakiharibika. Wako wapi wanyarwanda waliochochea ukabila? kumbukeni mpaka wahariri wa magazeti na radio za vituo vilivyochochea ukabila vimeshtakiwa Rwanda. Udini sio mzuri jamani, huwezi kuishi bila watu wa dini yako peke yao?
Asante mkuu kwa udadaVUZI yakinifu
 
jamani mm sijaelewa inamaana hizi tulizofanya 2nd interview hapa juzi juzi ndo wameita watu kazini moja kwa moja au vipi?
 
Mkishindwa kufikiri mnaishia kwenye udini...kisa kiongozi wa ilo shirika muislam acheni ujinga mbona mashirika mengine ya wakristo wako wakristo wengi waislam hawalalamiki...Acheni upimbi kama hamna bahati hamna tuu mapimbi nyie mnaowaza udini kila linalokushinda weweee...
 
Back
Top Bottom