HALI MBAYA, CHADEMA yazidi kupukutika moshi

HALI MBAYA, CHADEMA yazidi kupukutika moshi

Mungu atatuepusha na janga la CCM, GAZETI LA UHURU, GAZETI LA HABARI LEO, Uhuru Radio, Clouds FM, kwa maana kwenye hatua za mwisho za kifo mateke ya mfu ni hatari, hupoteza maisha ya wasiohusika.
 
hivi CCM mna akili kweli?chama hiki CCM kinapendwa na kinaipukitisha CHADEMA mbona hamshindi kiti cha ubunge sasa???? msiwe na akili kama za PINDA badilikeni ...watu hawataki ulimbukeni wenu
 
Kunja ngumi watu woooooooooooooooooooooooootttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

pople's power
 
Kwa Moshi CCM mnajidanganya tu,Chadema tunamadiwani 23 dhidi ya 3 wa CCM.
 
kumbe kilimanjaro meku ameshapiga dili hapo,sasa mtatuambia kumbe chadema si ya wachaga?

sisi tunahangaika na tanga nyie chezeni na hao jamaa wametumwa maprado muone watavyowapunyua.:lol:
 
Na bado siku za chadema zinahesabika mbowe kama hajajirekebisha tabia yake ya ubabe na dharau pamoja na unynyasaji kwa kutumia domo lake kwenye chama cha mkwe wake alicholishwa kiapo kwa kutoachia wengine kukiongoza wenye akili hawatakaa chadema. Huo ni mwanzo tuu msambaratiko uko njianiii
Acha chuki binafsi bro
 
ndoto tu zakudanganya
 
Mamluki wooote waondoke..waache chama chetu kiwe safi...SAFISHA WOOOOOOTE CDM..Na pia ufahamu sio kila alie ccm anapigia kura ccm mfano mzuri ni m/kiti na baloz wa mtaa wangu wote ncdm damu ila juu ya paa lao pana kitambaa cha kijana.
 
:eyebrows::A S-coffee: poleni sana sisiem
 
Mji mpya, sijui mabogini, huko nako ni Moshi?lol
 
Mamluki wooote waondoke..waache chama chetu kiwe safi...SAFISHA WOOOOOOTE CDM..Na pia ufahamu sio kila alie ccm anapigia kura ccm mfano mzuri ni m/kiti na baloz wa mtaa wangu wote ncdm damu ila juu ya paa lao pana kitambaa cha kijana.

Ndoto za Kimweri.
 
Hao walikuwa mamluki - afadhali wameondoka!! Hata hivyo taarifa nyingi za Habari leo ni propaganda za ccm!!
 
TIC TOC TIC TOC.... Clock is ticking kabla ya kamanda SHIBUDA kuanzisha gogoro kubwa litakalopelekea CrusaDer's Movement kufa
 
na bado siku za chadema zinahesabika mbowe kama hajajirekebisha tabia yake ya ubabe na dharau pamoja na unynyasaji kwa kutumia domo lake kwenye chama cha mkwe wake alicholishwa kiapo kwa kutoachia wengine kukiongoza wenye akili hawatakaa chadema. Huo ni mwanzo tuu msambaratiko uko njianiii
baambe habo bajamaa,cdm ni wazushi tu,na babu yao yule mtoa macho na mrukia wake za watu,watakufa kwa aibu kama kawaida ya
 
Wazazi Mpunga tu huo hapo Moshi njini watu hata buku hawaachi ..mchagga ............. atakwapia mamangu msasi nimehamia CCM leo mapaka kufa ?................ saa mbili baadae wako kule kule kwa msee Ndesapesa ....... hela kitu ingine ,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom