Athari za ukoloni na dini mpya kwa jamii ya Kiafrika zilikuwa nyingi na zenye mchanganyiko wa matokeo chanya na hasi. Hapa kuna baadhi ya athari kuu:
1. Mabadiliko ya Kijamii na Kiutamaduni
.Kupoteza Utamaduni wa Asili: Wakoloni walileta mifumo yao ya utawala, sheria, na mila, ambayo...
Nywele zako ni dhaifu ivyo waone wataalamu watakushaur ni namna gani unaweza kutunza nywele zako na kuzipatia matibabu kuondkana na tatizo ilo
Au nenda youtube Search Swahili naptural utajifunza mengi kuhusu utunzaji wa nywele zako
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Nakushaur angalia adpter unayotumia kama ni yenyewe kabisa na kam ni feki nakushaur tafuta adpter original or azima kwa mtu ujarbu kwanza kuanglia km ilo tatizo linawez kutatuka kwa staili iyo
Natumia dishi la azam na hizo satellite zote nimejarbu kusearch zinaonyesha channel nying za afrika na azam tv japo hazionyeshi ni black tu so naitaji kujua naweza fanyaje ili niweze kupata channel zaid na hasa za michezo kwa huelekeo wa Eutelsat 7b or 7c...?
"kauli ya mtu inaweza kukutoa gizani na kugundua ukweli uliopo ndani yake, lakini kama hutakuwa makini, unaweza kuchukulia kama utani na kuuacha ukweli uendelee,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.