Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,590
- 7,951
Na usishangae ukimtimizia kiu yake, asitulie. Binadamu hajaumbiwa kuridhika.
Agree with you 100%
Na usishangae ukimtimizia kiu yake, asitulie. Binadamu hajaumbiwa kuridhika.
Kila siku ya calendarLkn unapata utakacho?
Naamini hilo kwani wewe mi mkweli kumshinda bashiteKila siku ya calendar

Unaweza kumpa kila kitu, ukahakikisha ana gari kali, analala sehemu babkubwa, ana hela za kutumia, ana safiri anakotaka, na watoto wazuri umempa lakini kama kiu yake ya hisia haijakamuliwa ikakauka na kikombe chake cha penzi hakijazwi kikajaa ndugu yangu fahamu bado haujamaliza kazi.
Ukiona umempa hivyo vingine pasipo kumpa penzi na akaridhika na kukuchekelea kama vile anafuraha fahamu huyo amekuja kwako na mwili tu hajaja na moyo. Ndugu yangu raha ya tonge lilowe mchuzi [HASHTAG]#ChrisMauki[/HASHTAG]
Sio maneno yangu ni ya Dk Chris mauki nimeyacopy huko....
Kila siku ya calendar
Hakikisha mwanamke wako anasema "inatosha mpenzi, hakika wajua kunifikisha ninapopataka, wajua kunipa kile ninachokihitaji kwa muda muafaka".Ukimwacha mpenzi na kiu utagongewa hata na vichaaaa
picha hyo ni ya mapenzi mubasharaNimependa hiyo picha....
I will always satisfy my wuman to the fullest, whenever she wants me I will try to be there. All is just to make her happy n appreciate being with me. When it comes she dumps me by any reason, ipo siku atanikumbuka na kujiona yeye ndie mkosefu hata kama atakuwa tayari ndani ya ndoa.Kabisa ukiufwatisha moyo vibaya utakupeleka puta utabaki kuwa captive of your own destiny ain't satisfy it playing tricks of you!
And u'r woman she's lucky to have you...I will always satisfy my wuman to the fullest, whenever she wants me I will try to be there. All is just to make her happy n appreciate being with me. When it comes she dumps me by any reason, ipo siku atanikumbuka na kujiona yeye ndie mkosefu hata kama atakuwa tayari ndani ya ndoa.
Mwanamke haridhiki,ukimpa penzi kali afu huna hela ataenda kumtafuta mwenye helaUnaweza kumpa kila kitu, ukahakikisha ana gari kali, analala sehemu babkubwa, ana hela za kutumia, ana safiri anakotaka, na watoto wazuri umempa lakini kama kiu yake ya hisia haijakamuliwa ikakauka na kikombe chake cha penzi hakijazwi kikajaa ndugu yangu fahamu bado haujamaliza kazi.
Ukiona umempa hivyo vingine pasipo kumpa penzi na akaridhika na kukuchekelea kama vile anafuraha fahamu huyo amekuja kwako na mwili tu hajaja na moyo. Ndugu yangu raha ya tonge lilowe mchuzi [HASHTAG]#ChrisMauki[/HASHTAG]
Sio maneno yangu ni ya Dk Chris mauki nimeyacopy huko....
Thank you Valentina.And u'r woman she's lucky to have you...
Duuuuuh!!'Kiu yangu ni kupewa tunda, kupewa dawa, kila nikijisikia nipewe utamu...' naomba mpenzi wangu apite hapa ili asilani asijaribu kuninyima, hiyo ndio kiu yangu![]()
![]()
![]()
UnavutiaMweeh hata sijui