Msaada decoder ya Azam

Olsea

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
452
250
Habari wakuu,

Fundi alinifungia Dish la Azam nikawa napata Channels kama kawaida tatizo likawa ukiwa unaangalia Channels za HD inatokea kama Scratches hivi mara kwa mara ingawa picha inakuwa haigandi, nikamleta Fundi mwingine akasema inafanya hivyo kwa sababu Fundi aliweka Eutelsat 7B inatakiwa iwe 7C basi akaweka hivyo ila naona tatizo limeongezeka hadi Channels nyingne zna scratch hadi kero, wazoefu shida itakuwa nini? Maana Mafundi wa Mikoani huku wanabahatisha.

IMG_4702.jpg
 
Dogo habari. Ulifanikiwa hii issue?

Hapana Mkuu..niliwapigia wenyewe AZAM wakadai wanaifanyia kazi hyo issue maana wanaijua na inatokea kwa wale wenye ving’amuzi vya zamani.
 
Nakushaur angalia adpter unayotumia kama ni yenyewe kabisa na kam ni feki nakushaur tafuta adpter original or azima kwa mtu ujarbu kwanza kuanglia km ilo tatizo linawez kutatuka kwa staili iyo
 
Nakushaur angalia adpter unayotumia kama ni yenyewe kabisa na kam ni feki nakushaur tafuta adpter original or azima kwa mtu ujarbu kwanza kuanglia km ilo tatizo linawez kutatuka kwa staili iyo

Mkuu adapter n ya kwake original
 
Back
Top Bottom