يُخْرِجُ الْحَيَّ مِنَ الْمَيِّتِ وَيُخْرِجُ الْمَيِّتَ مِنَ الْحَيِّ وَيُحْيِي الْأَرْضَ بَعْدَ مَوْتِهَا ۚ وَكَذَٰلِكَ تُخْرَجُونَ ﴿١٩﴾
19. Anatoa kilichohai kutokana na kilichokufa, na Anatoa kilichokufa kutokana na kilichohai, na Anaihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na hivyo ndivyo...
Baada ya maandamano kufeli sio? Hamuamin tu kama wananchi wamekataa huo ujinga wenu wa kuwatoa kafara kwa maslahi yenu? Tafuteni mbinu nyingine hii imefeli vibaya 🤣🤣
Chukua Haojue express au plus hutojutia, ni imara sana, mafuta zinanusa, nguvu kubwa inachanganya haraka sana (nyepes kwenye mwendo) na mafundi wapo wengi na used yake inauzika kwa urahis tofaut na zingine ila changamoto zake ni
1.mzito sana kama itakuzimikia sehemu labda imeisha mafuta...
Kuna jamaa tiktok nimesahau jina ila anauza kifaa ambacho kinasaidia WiF kwenda hadi Umbali wa km 1 pia ana mfumo wa vocha ambao mteja anachagua mwenywe kifurushi atakacho kama ni 500 kwa saa au 1000 kwa siku ukiisha muda inajitoa tu yenyewe we kwako zinaingia pesa tu ila wanajiunga wenyewe huko...
Binafsi naona vyakula ndio vile vile tu ila ni kubadilisha aina za upishi coz huo mchele una mapishi zaid ya 40 ila ugali labda mboga,
Iwe ndizi, viazi ni kubadilisha staili tu za kupika na ukimpanda mwanamke ambae anapenda sana kupika pika na kufuatilia mapishi hapo utaenjoy vyakula japo ni...
Ufuta naona muda wake ndio unaishia mbaazi bado hadi mwezi wa 7 huko hadi 8 na korosho ni kuanzia mwezi wa tisa na hapa nakusudia kununua kwa wakulima (kangomba) na kuuza kwa vyama vya msingi inahitaji umakin na ufuatiliaji wa muda mrefu coz unaweza kata pesa, ukanunua labd kangomba 2000 gharama...
Naona mkuu hukufuatilia uzuri sakata lao na trump, hisa za tesla zilishuka mara 2 kipindi cha kampeni mpka trump akampambania baada ya kuingia madarakan, akaja tena kugombana na trump mpka akajiuzulu kwenye D.O.G.E. hadi leo hii karudi mwenywe kumlamba miguu trump majuzi tu walikuwa nae china.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.