Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,412
- 9,790
Siipendi CCM kwasababu ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo ila kiukweli naumia mno na aina ya upinzani kama huu wa mbowe na lemasawa mkuu tuendelee kushikamana
Siipendi CCM kwasababu ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo ila kiukweli naumia mno na aina ya upinzani kama huu wa mbowe na lemasawa mkuu tuendelee kushikamana
nakuelewa mkuu, lakini hakuna cha kufanya mfano kama huu uandikishaji wa sasa ynaendelea mambo ya ajabu sana lakini wananchi tupo kimya. kama kuna janga hatari zaidi ni hili mkuu kuliko weakness za upinzani mii maoni yangu ni haya. ni tabu sanaSiipendi CCM kwasababu ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo ila kiukweli naumia mno na aina ya upinzani kama huu wa mbowe na lema
Huku vijijini watu wanashangilia balaa kuwa samia kapandisha bei ya korosho kwakweli inahuzunisha mno wananchi wanapofanywa wajinga kiasi hikinakuelewa mkuu, lakini hakuna cha kufanya mfano kama huu uandikishaji wa sasa ynaendelea mambo ya ajabu sana lakini wananchi tupo kimya. kama kuna janga hatari zaidi ni hili mkuu kuliko weakness za upinzani mii maoni yangu ni haya. ni tabu sana
Siipendi CCM kwasababu ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo ila kiukweli naumia mno na aina ya upinzani kama huu wa mbowe na lema
Huku vijijini watu wanashangilia balaa kuwa samia kapandisha bei ya korosho kwakweli inahuzunisha mno wananchi wanapofanywa wajinga kiasi hiki
Kwa 1000 vipi??
0719233421 nicheki kakaHata ruangwa 1200
Sehemu nyingi 1200 //1300 Kun baaadhi ya vjj buku jero bei ya buku subiri kdg mnada upigwe
0719233421 nickekSehemu nyingi 1200 //1300 Kun baaadhi ya vjj buku jero bei ya buku subiri kdg mnada upigwe
Noma sanaKuna sehemu unapata mwaka huu kdg wanunuzi wamekuwa na akili timamu
Je njia za kusafirish ni rahisi au kuna janjajanja nyingi kontena moja linaweza kuwa na Tani ngapi?kwa maana ya mzigo unaweza kuwa wa Tani ngapi?Kwanini usisafirishe kontena 1 upeleke China,India au Vietnam. Upate pesa maradufu
Habari MkuuJuzi kati nilikuwa tandahimba karibu na vijiji vilivyo karibu na mto ruvuma kule chomachoma ni 1200 na korosho ni nyingi balaa tani 2 unapata ndani ya siku 3 tu
Mavuno bado hayajaanza....kangomba ni pale korosho zinapoanza kuanguka chini kuanzia mwezi wa kumi mwanzoniHabari Mkuu
kwasasa bei imesimamaje kangomba na ni maeneo gan yana bei hizo
Samahani ukipata mda naomba unielimishe kuhusu kangomba kwenye korosho ikiwemo namna nzuri za kuifanya ,changamoto, na namna ya kuziepukaMavuno bado hayajaanza....kangomba ni pale korosho zinapoanza kuanguka chini kuanzia mwezi wa kumi mwanzoni
MkuuWerawera👏👏👏 nilieleza humu kuwa korosho zina pesa mno mwaka huu
Mwaka huu ni mgumu mno mazao yote yaliyopita kama ufuta, mbaazi bei zake zimezingua mno...kwahiyo kwa msimu huu kangomba inabidi iwe 1000 tu isizidi hapoMkuu
Kwa maono yako mwaka huu vp korosho ,,maana mwaka jana uliona mbali
Nunua mbaaziWrite your reply...mkuu bado miezi mi4,ludi tuanze jalamba kwenye huu uzi
mkuu ninauzoefu na biashara ya mpunga huku mbeya ila ningepata abc za mbaaz, korosho na ufuta huwa nazitaman san kuzifanya. Npe abc tafadhal yn msim n mwez up na uuzaj wake upo vp mkuu.Nunua mbaazi